GIRITA
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 4,541
- 6,019
- Thread starter
- #81
Slama afande.Asalam aleykum afandeView attachment 1285607View attachment 1285608
Slama afande.Asalam aleykum afandeView attachment 1285607View attachment 1285608
We ndio shenzi Wa kutupa huna unachojua kuhusu mambo ya hijab bora ufunge bakula lako LA mkojo kharamu kabisa huna LA kujibu hapa kajitoe mavi na makaratasi.Unajua wewe ni mjinga, dini haina uhusiano na mavazi wewe.
Hijabu wanavaa wanawake wa maeneo ya Saudi na kwengineno kwa sababu wanawake wa huko wana nywele ndefu, hivyo hijabu ni kwa kulinda manywele yasitawanyike hovyo, wewe na kipilipili chako, nywele ngumu kama brush hijab ya nini kwa wabongo. Ndo maana hata wanaume wa huko huvaa kitu kichwani ili kukinga nywele na upepo kuvuruga nywele na kuziba macho ukikumbuka pia walitumia sana farasi enzi hizo kusafiri, hivyo kuzifunika nywele ni usalama pia.
Hata kuvaa kanzu sio dini bali ni mazingira yao,
Mtu anaenda kukojoa na kwa kuwa kule upepo ni mwingi kujirushia mkojo ni kawaida kama utakojoa huku umesimama, ndo maana mazingira ya mavazi yao yamewekwa ili hata ukitaka kukojoa nje barabarani uchutame kama mwanamke ama sivyo watu wangekuwa wananuka mikojo.
Wengi mnaopenda dini mna sifa kubwa ya kuwa na ujinga mwingi
Sawa,mkuu.Taasisi hizi unazozizungumzia ww ni KUBWA kuliko hizo “wishes” zako unazotamani zitimieee...
Ufanisi wake umejengwa zaidi kuzidi hayo unayoyazungumzia....Hazifungamani na wala hazitokuja kufungamanishwa na hayo unayoyataka
Nenda kaangalie Amazon guard ya Gaddaf walikuaje? Ndio dini zilikotokea huko hawakua na vilemba wala maderaAsalam aleykum wanajamii.
Moja kwa moja kwenye lengo nchi yetu pendwa ni moja kati ya nchi zinazompa Uhuru RAIA wake kuabudu dini yeyote aipendayo kikatiba.
Leo najikita zaidi kuiomba serikali na wizara husika kuwapa uhuru wa kuabudu watumishi wake.
Hapa nasimama kutoa hoja hii kama itafaa basi ifanyiwe kazi na vyombo husika, watumishi wa vyombo vya ulinzi na usalama, askari polisi, askari wa jeshi la wananchi, jeshi la zima moto, uhamiaji na jeshi la kujenga taifa.
Haya ni majeshi yanayoajiri watu wa dini zote hapa nchini na kuwapa uhuru wao wa kufanya ibada lakini kumekuwa na unyimwaji wa uhuru wa mavazi kwa waumini wa dini ya kiislamu hasa kwa waajiriwa wa kike.
Kwa mujibu wa dini ya kiislamu mwanamke anatakiwa kujistiri mwili wake popote alipo, sasa hapa kwetu mambo ni tofauti kidogo hakuna mavazi au sare katika majeshi yetu yanayompa uhuru mwajiriwa husika wa kike kujistiri.
Hivyo nashauri Wizara husika ziangalie uwezekano wa sare za kujihifadhi kwa hawa dada zetu wa kiislamu wapate angalau uwezekano wa kuficha nywele zao na mavazi yao yawe ya stara hata kama ni suruali basi ziwastiri kwa mujibu wa dini na imani yao.
Tunaweza kuangalia mifano kwa nchi zilizowapa uhuru wanawake wa kiislamu kujistiri wakiwa katika majukumu yao ya kijeshi, kwa kuwa nchi yetu haina dini basi haiwezi kuwa tatizo.
Kuna wakina dada wengi wanatamani kujiunga na majeshi yetu lakini wanaogopa kwenda kinyume na maamrisho kimavazi, zibuniwe sare ambazo zitawapa stara wakina dada wa kiislamu katika majeshi yetu ya ulinzi na usalama.
Huu ni ushauri na maoni yangu sijaleta malalamiko hapa.
Mungu ibariki Tanzania. Mungu ibariki Afrika. Mungu mbariki Rais wetu Dk. John Pombe Magufuli.
Sahihi kabisa,mdunguaji.
Nchi haina dini lakini wananchi wake wanaamini katika dini.umesema nchi yetu haina dini halafu unataka maaskari wa kiislamu wawe na mavazi maalumu ya kutambulisha imani zao hivi unataka tukivamiwa na alshabaab wajue kabisa ni aina gani ya watu wanatakiwa kuwashambulia.
Tanzania ni nchi yetu sote
Mimi mjasiriamali wa makulaji.Njoo soko la Urafiki njiapanda Mabibo,jina maarufu " Mangi Mboga wa Kibosho".Njooni mniungishe kipindi hiki cha sikukuuu!!!Sawa,mkurugenzi wa majeshi.
Sawa,Ila Mimi nipo huku ibologero ndani ndani usukumani.
Ndoo tabuu nkoi,amishaga mpolaaa!!Kwetu ni Kadashi-Maligisu Kwimba,nyumbani kwa Ndasa (Mb).Tolehoooo nyampalaaa!!