Maswali kwa waliowahi kusafiri kwa private Dar-Moshi

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
8,130
8,330
1. Mlitumia saa ngapi
2. Mlitembea speed kiasi gani
3. Kwenye speed limit ya 50 mlitembea ngap?
4. Mlitumia mafuta Lita ngapi au ya sh. Ngap?
Nawasiliana.
 
Naongelea experience yangu.

1. Huwa natumia 4.30 hrs mpaka arusha.

2. Mara nyingi natembea average ya 130 - 150 kph.

3. Huwa naondoka saa 10 alfajiri, trafiki hawakuwepo barabarani. Kwenye 50 nilikuwa napita na 130kph. Kunapokucha nakuwa nimeshapita segera. Sheria nazifuata kwenye maeneo ya watu wengi, japo maeneo ya same nilikuwa nafukia tu.

4. Huwa natumia average ya 80 - 90 ltrs.
 
Mleta mada huenda hata hujawahi kuendesha baiskeli achilia mbali Toyo. Yaan umeleta mada ya jumla jumla kama vile watu wote walitumia gari aina moja. Eti kwenye speed limit 50kph ulitumia speed gani aisee ipo haja ya kuimarisha MEMKWA.
 
Njoo kwenye mada, achana na personal attack. Hapo hujaelewa nini kwenye speed limit?
 
Naongelea experience yangu.

1. Huwa natumia 4.30 hrs mpaka arusha.

2. Mara nyingi natembea average ya 130 - 150 kph.

3. Huwa naondoka saa 10 alfajiri, trafiki hawakuwepo barabarani. Kwenye 50 nilikuwa napita na 130kph. Kunapokucha nakuwa nimeshapita segera. Sheria nazifuata kwenye maeneo ya watu wengi, japo maeneo ya same nilikuwa nafukia tu.

4. Huwa natumia average ya 80 - 90 ltrs.
Shukrani Sana mkuu..mm nilitumia nane na nusu hv but nilikua nafuata vibao kwenye speed limit ya 50 nilikua natembea kwenye 40+
 
  • Thanks
Reactions: y-n
P
Naongelea experience yangu.

1. Huwa natumia 4.30 hrs mpaka arusha.

2. Mara nyingi natembea average ya 130 - 150 kph.

3. Huwa naondoka saa 10 alfajiri, trafiki hawakuwepo barabarani. Kwenye 50 nilikuwa napita na 130kph. Kunapokucha nakuwa nimeshapita segera. Sheria nazifuata kwenye maeneo ya watu wengi, japo maeneo ya same nilikuwa nafukia tu.

4. Huwa natumia average ya 80 - 90 ltrs.
Na kwa hayo mafuta mkuu inaonekana Gari yako Ina engine ya kibabe
 
Japo binafsi sina gari zaidi ya baiskeli aina ya swala niliyonunua 1992 kwenda Arusha na usafiri binafsi ndugu Mtui ni jambo jema ila muda wa kutumia inategemea na aina ya gari kwa mfano mwenye prado anaweza kutumia 6hrs lakini mwenye carina akatumia 8hrs ni mfano tu na hiyo inaenda sambamba na utumiaji wa mafuta ingawaje petrol itatumika zaidi ukilinganisha na diesel aidha uzoefu wa dereva ina nafasi kubwa barabarani hasa inapokuja safari ndefu
 
Japo binafsi sina gari zaidi ya baiskeli aina ya swala niliyonunua 1992 kwenda Arusha na usafiri binafsi ndugu Mtui ni jambo jema ila muda wa kutumia inategemea na aina ya gari kwa mfano mwenye prado anaweza kutumia 6hrs lakini mwenye carina akatumia 8hrs ni mfano tu na hiyo inaenda sambamba na utimiaji wa mafuta ingawaje petrol itatumika zaidi ukilinganisha na diesel aidha uzoefu wa dereva ina nafasi kubwa barabarani hasa inapokuja safari ndefu
Jibu zuri Sana..thanks mdau
 
1. Speed 80 - 110kph
2. Natembea usiku hakuna speed limit.
3. Mafuta ya 100k ina maana lita 50 hivi.
4. Nilitumia masaa mengi kinoma maana ilikua safari ya starehe nachojua tulifika alfajiri. Mnasimama mombo masaa kadhaa kula nyama sijui bar gani kula monde....
 
Safi Sana..Mimi usiku sipend sanna kusafiri maaana unatimia nguvu na akili nyingi kuconcentrate
 
Duh. Gari gani ulitumua.. Inamaana Dar Hadi Moshi ulitumua saa nne?
Huwa naondoka saa 9 - 10 alfajiri, napita njia ya bagamoyo, hakuna watu wala magari mengi barabarani. Nafukia hadi 150kph, naiweka gari katikati ya barabara, sema matuta ndo kero kubwa sana.
 
Naongelea experience yangu.

1. Huwa natumia 4.30 hrs mpaka arusha.

2. Mara nyingi natembea average ya 130 - 150 kph.

3. Huwa naondoka saa 10 alfajiri, trafiki hawakuwepo barabarani. Kwenye 50 nilikuwa napita na 130kph. Kunapokucha nakuwa nimeshapita segera. Sheria nazifuata kwenye maeneo ya watu wengi, japo maeneo ya same nilikuwa nafukia tu.

4. Huwa natumia average ya 80 - 90 ltrs.
Aisee habari yako ina ukakasi mwingi. Tukichukulia barabara imenyooka na speed haipungui waweza tumia huo muda ulioweka hapa vinginevyo ni ngumu kama ngamia kupenya kwenye tundu la sindano
 
Huwa naondoka saa 9 - 10 alfajiri, napita njia ya bagamoyo, hakuna watu wala magari mengi barabarani. Nafukia hadi 150kph, naiweka gari katikati ya barabara, sema matuta ndo kero kubwa sana.
Sure..na nneona ukipitia chalinze kile kipande Cha chalinze Hadi Msata kina matuta ambayo hayana alama. Usipokuwa makini unaweza jikuta nje ya road
 
Back
Top Bottom