Recent content by mkwiji

  1. mkwiji

    Msaada kuhusu mfumo mpya wa Insurance ya Gari

    Hii inafanya, asante sana
  2. mkwiji

    Msaada kuhusu mfumo mpya wa Insurance ya Gari

    Nina gari mbili, moja nimeikatia crdb nyingine BUMACO, zote mbili hazioneshi. Nimepigwa au ni hii system mbovu?
  3. mkwiji

    Inflation na kushuka kwa thamani ya shilingi kusikoeleweka; Serikali inachapisha fedha kisiri kugharamia shughuli za serikali na miradi mikubwa?

    Printing money creates a sense of nervousness amongst both economists and the general public. It immediately conjures up memories of hyperinflation in Weimar Germany in 1923 and Zimbabwe in more recent times. If a government prints money faster than the growth of real output it reduces the value...
  4. mkwiji

    Web designer anahitajika haraka njoo PM

    umepata? pm me nambako kama bado
  5. mkwiji

    Digital tv

    Kinondoni
  6. mkwiji

    Digital tv

    Niaje boss. Je una fundi anaeweza kunifanyia huo mchakato?
  7. mkwiji

    Mtatiro aanza 'kufaidi mafanikio' hata kabla ya kujiunga rasmi CCM

    Mungu atusaidie sisi......yaani kupigiwa simu nayo ni mafanikio!!!! Daah.....
  8. mkwiji

    Pamoja na uzalendo, nimekatishwa tamaa na business class ya Dreamliner, ya kilala hoi sana, Hebu linganisha na SAA

    SIna ushahidi tu wa hili.....ila nikiupata ntakuja kukupinga....hiyo kitu sio ya Dreamliner ya ATC.....lol....n
  9. mkwiji

    Mwanaume mwenye akili ndogo umuona mwanamke ndio chanzo cha mafanikio yake

    Usiwe unasoma biblia ukiwa na usingizi. Haya ndo matokeo yake. Vipi kuhusu watu km Rahabu, Esta, Mariam mama wa Yesu nk? Ulisoma stori zao pia? Au hujui hata mitume na manabii wengine waliokoka kwa mkono wa mwanamke? Mtu wa kwanza kumuona Yesu aliefufuka pia alikuwa mwanamke ndg yangu. Soma...
  10. mkwiji

    Ushamba: Siasa ndani ya ndege ya kibiashara (Dreamliner)

    Mungu atusaidie Tanzania.
  11. mkwiji

    Akioga tu ananiomba nimpake mafuta mgongoni, haijalishi muda lazima aje kunigongea

    Huna kazi ya kufanya siku nzima unasubiria uitwe upake mafuta mzee? Nenda kibaruani uone km atakufuata huko umpake mafuta. Uvivu ni gharama bro
  12. mkwiji

    Tanzanian made clean animations

    Japo sijaiona nakupongeza kwa uthubutu
Back
Top Bottom