Recent content by mkwepu jr

  1. mkwepu jr

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hongera mkuu mapambano lazima yaendelee mpaka muhindi afilisike
  2. mkwepu jr

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kuna mda nabet ili kutafutia mtaje ili nipandie kwenye game zingine wao wanafungia kabisa ni wa kuwahama tu kwa sasa
  3. mkwepu jr

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Bora leo hajaweka under maana mambo hua ni ivi[emoji116]
  4. mkwepu jr

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Tokea asubuhi nachungulia jamaa fb kama ashaweka jamvi nisipitwe ila mwisho wa picha kiboko kimenihusu
  5. mkwepu jr

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Apa nilipo nataman nilambe pasi mkuu uyu kanji katufuata mpaka fb
  6. mkwepu jr

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Uyu benfica kaninyima usingizi mpaka sasa
  7. mkwepu jr

    Mwezi Oktoba mwezi wa Maria

    Kwa yeyote mwenye kuamini nae atabarikiwa kwa maombi anayofanya kulingana na imani yake [emoji120]
  8. mkwepu jr

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    Mmmmmmh ostadhat ngoja nije pm kukusabahi kidogo
  9. mkwepu jr

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    [emoji16][emoji3]
  10. mkwepu jr

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo kisorya,bunda mkoani mara nije pwani.Idara ya msingi
  11. mkwepu jr

    Msaada interview za Jeshi la Magereza

    Hongera sana mkuu tupo pamoja hakuna kukata tamaa mpaka kieleweke.[emoji109]
  12. mkwepu jr

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    Hii mtwara vijijin mkuu karibu sana ule korosho
  13. mkwepu jr

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    Sawa mkuu karibu geto
  14. mkwepu jr

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    Leo kuna uefa acha nitafute ela ya bia kwanza ayo maswali mawili matatu baadae mkuu
  15. mkwepu jr

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    Jamaa anatuokoa sana sisi jobless
Back
Top Bottom