Recent content by Mkwelidawa

  1. M

    Wasiomwelewa Magufuli wasiturudishe nyuma

    Jamani mtu akitenda haki mnanzushia, Magufuli ni jembe
  2. M

    Jaji Mutungi: Rais Magufuli hajafuta mikutano ya kisiasa

    Magufuli alihimiza kushirikiana ili kuleta maendeleo kwani sasa si muda wa siasa bali ni kazi tu. sasa nashangaa mwasema kakataza shughuli za kisiasa.
  3. M

    Waziri Mkuu wa Uingereza David Cameron atangaza kujiuzulu baada ya Uingereza kujitoa EU

    Hapo sasa kazi inaanza, naamini pia Scotland nao wataamua kujitenga na UK
  4. M

    Maajabu ya nyota aina ya comets

    comet na meteorite ni tofauti wakuu, hebu tafuteni difference
  5. M

    Maajabu ya nyota aina ya comets

    Cha mbozi ni meteorite na si comet mkuu!
  6. M

    Maajabu ya nyota aina ya comets

    Hakuna comet iliyowahi kuanguka duniani, mkuu unaisemea meteor, meteor ikianguka duniani ndo huitwa meteorite. Meteorite ndio kimondo, comet na meteor ni vitu vowili tofauti.
  7. M

    CHUMBA KIMOJA...baba, mama na watoto. Umaskini hatari!!!

    Hahaahaaa!!!!!! mbavu zangu mie!!!!!!!!
  8. M

    Kwanini Zitto nisikuite msaliti?

    Taratibu naanza kuamini Zitto hana lengo zuri na upinzani
  9. M

    Dirty church marketing strategies (The case of Gwajima vs Catholics)

    Natambua ukweli wa Jesus christ na Barnaba hapa. Watu wakamuhukumu Yesu kisa aliwaambia ukweli na uovu wao, lakini watu wakamuua. Barnaba ambaye alikua mtenda maovu halisi wakamuachia huru. Pengo and Gwajima wanahukumiwa kama ilivyowatokea Yesu na Barnaba.
  10. M

    Shairi: Alokwenda kwa mjomba ameishia njiani

    Shairi zuri saana.kumbe mjomba wajina wake. Ndio nagundua
  11. M

    Ujamaa wa Tanzania ni kwenye Katiba tu! - Zitto Kabwe

    Nikimtazama ZITTO namuona mwalimu JK Nyerere kwa mbali. Namaanisha ana fikra na mtazamoo safi juu ya nchi hii. Kwa upande wangu Zitto ni mwanasiasa anayehitajika saana katika nchi hii. CHA MUHIMU ZITTO ZUBERI KABWE USIFE MOYO, UTASEMWA SAAANA, LAKINI WEWE ENDELEA KUTENDA MEMA, MUOMBE MWENYEZI...
  12. M

    Zitto ndani ya kipindi cha Dakika 45 za ITV - Machi 16, 2015

    Ni kweli kabisa mkuu, kuna watu wanamchukia Zitto kisa chama kimesema hivi au Mbowe kasema ni msaliti. Kama wasomi watanzania yatupasa tutumie akili zetu kutathmini mambo ambayo Zitto kalifanyia taifa . Ushabiki tuuache tutangulize maslai ya taifa
  13. M

    Zitto ndani ya kipindi cha Dakika 45 za ITV - Machi 16, 2015

    Hodi humu ndani ......Kwa mtanzania yeyote mpenda maendeleo, bila kujari itikadi ya vyama, kazima atakubaliana nami kuwa mchango wa Zitto bado unahitajika katika taifa hili. Zitto ni muwajibikaji, muwazi, muwajibishaji, Jasiri na ana thubutu.Watanzania wapenda maendeleo tumsaport kijana aliye na...
Back
Top Bottom