Dirty church marketing strategies (The case of Gwajima vs Catholics)

Xplorer

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
607
857
CREATE AN ENEMY FOR YOUR CHURCH

Gwajima's church is now large and thriving, it has become a magnet of attention, attracting more and more customers.. He know that If he is not careful boredom will set on his church as he repeat his sermons, and as people take him for granted.

literature about church business says that It is absolutely important at this stage to create a 'Them versus Us' dynamic. You have to make sure that your followers think that they are part of an exclusive club, unified by spiritual goals with unique access to God.

You can emphasize on being a chosen one with special relationship to God. To cement the hold of this bond- create the notion of a terrible enemy out to stop your ministry. It could be another Pastor, an outsider who is spreading disaffection. This outsider who tries to reveal the charlatan nature of your organization can now be described as a devious enemy.

In meetings you can frequently shout "let all my enemies DIE BY FIRE" Work your followers into warring ‘prayer' frenzy. It may be expedient at this stage to go easy on some of Christ's directives such as love your enemies and pray for those that curse you, rather emphasize the need to fight your enemies because there is a time for peace and a time for war…King Solomon.

Any deficiency in your ideas will be hidden by the zeal of the masses. Passion and enthusiasm will sweep through the crowd like an airborne plague and they will react violently to anyone who disputes with you while getting more committed to your cause.

Gwajima is not crazy and he knows that Tanzanians dont like to read or do research (especially his customers) so lets us expect more of these from this Guy (TRUST ME ,HE IS GOING TO RISK A LOT).

"If you have no enemies, invent one. Given a straw to react against, your followers will tighten and cohere. They have your cause to believe in and infidels to destroy "- Robert Greene
 
Gwajima mnamtuhumu bure tu lakini chanzo cha yote hayo ni utumbo aliouongea Pengo.

Siku zote watu wanatake advantage kutoka kwa wenzao,Pengo akaropoka utumbo,Gwajima aka cash in

Pengo kampa umaarufu Gwajima nami nasema apate tu waumini wa kutosha.
Kwa hili la katiba Gwajima amenifurahisha sana.

Live longer Hon Bishop Father Prophet Dr Gwajima.

Back Tanganyika,no to katiba mpya.

LIve longer TEC,live longer jukwaa la wakristo Tanzania.
 
Badilisha heading yako....Sio "Gwajima Vs Catholics" bali ilikuwa "Gwajima Vs Pengo." Nadhani umeelewa.

TEC ni wakatoliki lakini wanaunga mkono msimamo wa Gwajima.

Otherwise research yako au km umekopi sehemu haiwezi kuwa valid ktk mambo ya Imani za dini. Mambo ya Imani huamuliwa tu na wanaoamini. Kufanya research ni kupoteza muda.
 
Hii sheria ya kuanzisha makanisa inabidi iangaliwe upya,
kuna watu wanajifanya wahubiri wana ukakasi sana masikioni, kwa mara kadhaa nimepata kukutana na kipndi katika TV cha bwana mmoja anajiita Nabii Franc Kilawah kwa kweli huyu jamaa hana maadili kabisaaa, inatia kinyaa hata kumsikiliza, hebu angalieni video yake akiwa mbeya, halafu maneno aliyokuwa akiongea yaani ni kama mpiga ramli chonganishi.
Nadhani vyombo husika vinaweza kupata ujumbe huu huyu jamaa akafungiwa maana ile sio huduma bali ni ramli chonganishi.
hana maadili.
sheria itazamwe upya na wengine wapunguzwe. vinginevyo hatujengi taifa.
 
Gwajima mnamtuhumu bure tu lakini chanzo cha yote hayo ni utumbo aliouongea Pengo.

Siku zote watu wanatake advantage kutoka kwa wenzao,Pengo akaropoka utumbo,Gwajima aka cash in

Pengo kampa umaarufu Gwajima nami nasema apate tu waumini wa kutosha.
Kwa hili la katiba Gwajima amenifurahisha sana.

Live longer Hon Bishop Father Prophet Dr Gwajima.

Back Tanganyika,no to katiba mpya.

LIve longer TEC,live longer jukwaa la wakristo Tanzania.

Pengo kusema wananchi wapewe uhuru wa kuchagua,ambayo ni haki yetu ya kikatiba,wewe unaita utumbo!!halafu mvunja sheria anayemkashifu mwenzake hata kumfananisha na mvaa Pampers wewe unamuona yuko sahihi,kweli akili za kuambiwa changanya na zako
 
The problem we are having is the source of beliefs especially of religious leaders.For leaders who believe in American Religious way of life take religion as a business that competes with other religious business.So they need to have a competitive strategy in the religious market.The strategy can be good or worse.FULL OF LIES,PROTECTIONISM, THREATS,INSULTS,mud-sliding ETC.

All religions in tanzania are suffering from this religious market competition.Muslims also Compete.New sects like ANSWAR sunna also operate in line with American religious life where they compete in the religious market to oust BAKWATA.They fight BAKWATA to a have a greater market share of believers.

So you will find even in one religion leaders develop competitive strategy against each other in all religions in Tanzania.The marketing graduates who used to look for jobs in the secular world now the are in the religion for the purpose of preparing marketing strategy of the leader,the religion and their beliefs.I was at one studio where a Muslim marketing consultant was preparing a marketing plan for one of the Churches in Dar es salaam.

So now it is about wealth,fame and market share of followers.Gwajima has about 60,000 FOLLOWERS so to him that is a very big population compared to five million people who live in Dar es salaam,Therefore he is a star with his 60,000 people THEREFORE HE CAN INSULT ANYBODY WITHOUT FEARING GOVERNMENT,POLICE OR ANYBODY!!!!
 
Pengo kusema wananchi
wapewe uhuru wa kuchagua,ambayo ni haki yetu ya kikatiba,wewe unaita
utumbo!!halafu mvunja sheria anayemkashifu mwenzake hata kumfananisha na
mvaa Pampers wewe unamuona yuko sahihi,kweli akili za kuambiwa
changanya na zako

Pengo angesema hayo wakati wa kuandaa au kabla ya ku-sign waraka wa maaskofu. Gwajima is right!
 
Gwajima mnamtuhumu bure tu lakini chanzo cha yote hayo ni utumbo aliouongea Pengo.

Siku zote watu wanatake advantage kutoka kwa wenzao,Pengo akaropoka utumbo,Gwajima aka cash in

Pengo kampa umaarufu Gwajima nami nasema apate tu waumini wa kutosha.
Kwa hili la katiba Gwajima amenifurahisha sana.

Live longer Hon Bishop Father Prophet Dr Gwajima.

Back Tanganyika,no to katiba mpya.

LIve longer TEC,live longer jukwaa la wakristo Tanzania.

Natambua ukweli wa Jesus christ na Barnaba hapa. Watu wakamuhukumu Yesu kisa aliwaambia ukweli na uovu wao, lakini watu wakamuua. Barnaba ambaye alikua mtenda maovu halisi wakamuachia huru. Pengo and Gwajima wanahukumiwa kama ilivyowatokea Yesu na Barnaba.
 
Africans hata sijui ni nani aliyewaroga kuhusu hizi dini?hivi kwanini tumekuwa wapumbavu kuhusu dini?

Mkuu umeongea ki2 kinachuniumiza kichwa cku zote ivi kitakuja kizazi kitakacho litambua hili kweli?au tutaendelea kuwa wa2mwa wa kilaki2
 
Mkuu umeongea ki2 kinachuniumiza kichwa cku zote ivi kitakuja kizazi kitakacho litambua hili kweli?au tutaendelea kuwa wa2mwa wa kilaki2

inaumiza sana,imetufanywa tumekuwa wapumbavu,imedumaza akili zetu yaani tumekuwa viumbe vya ajabu,hatujitambui na tunadhani tutaenda mbinguni kwa kuabudu dini za wageni
 
Pengo alipotoka.
Thats all. Ndo maana hata Rais wa TEC Mhasham Askofu wa Iringa Tarcisius Ngalalekumtwa amehudhuria na kutia RAKILI na wenzie kina Dr Malasusa kwa mara ya pili,
Ingekuwa Mwadhama Cardinal Pengo yupo sahihi basi TEC wangesusa kuhudhuria juzi dodoma.
 
Pengo kusema wananchi wapewe uhuru wa kuchagua,ambayo ni haki yetu ya kikatiba,wewe unaita utumbo!!halafu mvunja sheria anayemkashifu mwenzake hata kumfananisha na mvaa Pampers wewe unamuona yuko sahihi,kweli akili za kuambiwa changanya na zako

Hayo alitakiwa kuyasema ndani ya kikao cha TEC awashauri kwanza maaskofu wenzake na sio kuja kuropoka nje huku,kwanza huo ni usaliti pili ni unafiki.

Gwajima mnamtuhumu bure tu lakini chanzo cha yote hayo ni utumbo aliouongea Pengo.

Siku zote watu wanatake advantage kutoka kwa wenzao,Pengo akaropoka utumbo,Gwajima aka cash in

Pengo kampa umaarufu Gwajima nami nasema apate tu waumini wa kutosha.
Kwa hili la katiba Gwajima amenifurahisha sana.

Live longer Hon Bishop Father Prophet Dr Gwajima.

Back Tanganyika,no to katiba mpya.

LIve longer TEC,live longer jukwaa la wakristo Tanzania.

mkuu cardinal Pengo kachemka ila right reverend Gwajima kazidisha!
 
Natambua ukweli wa Jesus christ na Barnaba hapa. Watu wakamuhukumu Yesu kisa aliwaambia ukweli na uovu wao, lakini watu wakamuua. Barnaba ambaye alikua mtenda maovu halisi wakamuachia huru. Pengo and Gwajima wanahukumiwa kama ilivyowatokea Yesu na Barnaba.

Baraba and Barnaba are two different people. In this post I believe you mean Baraba.
 
Pengo alipotoka.
Thats all. Ndo maana hata Rais wa TEC Mhasham Askofu wa Iringa Tarcisius Ngalalekumtwa amehudhuria na kutia RAKILI na wenzie kina Dr Malasusa kwa mara ya pili,
Ingekuwa Mwadhama Cardinal Pengo yupo sahihi basi TEC wangesusa kuhudhuria juzi dodoma.

Umoja wao ni wa kudai katiba tu!lakini kwenye kuhubiri injili kila mtu kivyake,ukisikia kanisa limekengeuka ndio hivi
 
Back
Top Bottom