Recent content by Mkwele_

  1. Mkwele_

    Serikali bado haijaelewa maana ya maandamano siku hizi. Serikali itatue kero za waandamanaji

    Bwana mkubwa, maandamano unayajua au unayasikia?...Uwe unatumia akili badala ya makalio
  2. Mkwele_

    Baada ya kuona fedha uchochezi zinaenda kukata Chadema inarudia kwenye hoja za "Deep Green"

    What if wakichagua ACt badala ya Chama chako Chadema?
  3. Mkwele_

    Sherehe na maandano makubwa ya Mashoga Duniani yamefanyika Tel Aviv Israel baada ya kusimama kwa miaka miwili

    Hayo ndo yatakayotokea huku kwetu, kama tutakubaliana na serikali za nchi zao katika kila kitu. Tuendelee kuipenda nchi yetu
  4. Mkwele_

    Heche: Unakuta kijana wa Chuo Kikuu anajivunia kuwa CCM, eti kisa anahofu ya kukosa ajira

    Wao wenye uwezo wa kuitoa nchi hapa ilipo na kuipeleka nchi ya ahadi, wanashindwa nini kuondokana na kukamua wananchi na wanachama wao kwa michango ya kila aina?..
  5. Mkwele_

    Kafulila: Tumemkataa mbia barabara ya kulipia Kibaha -Chalinze kwa maslahi mapana ya nchi yetu

    Acha kuwa mjuaji katika kila kitu...Do you have a proof?...
  6. Mkwele_

    Ramani, makadirio, Elimu na ushauri kuhusu Ujenzi

    Ni kweli. Ila zinasaidia kupunguza madhara ya ceiling kufumuka pia kutokana na wind pressure... Ingawa hii ina minor effect...
  7. Mkwele_

    Prophetic code year 2026

    Huo mstari wako wa mwisho unaonesha vile ulivyo sifuri kichwani.
  8. Mkwele_

    Tunaenda Kondo kuujua ukweli

    Ukikamatwa ukatoe ushahidi unaanza kupiga mayowe humu
  9. Mkwele_

    Wachina wamejipiga pini kwenye vita ya ushuru, Soko kubwa dunia nzima lipo Marekani

    Hujui lolote, kuhusiana na vita za uchumi. Kaa kimya
  10. Mkwele_

    Ramani, makadirio, Elimu na ushauri kuhusu Ujenzi

    Kuna kitu kinaitwa "Passive Rsgulated House Design" those structures zaweza tumika kwa minajili hiyo ili kupata air circulation ya kutosha ndani ya nyumba na pia urembo.
Back
Top Bottom