Kutokutangaza Tanzania one au shule zilizofanya bora Ni sawa sababu hakuna impact yeyote inayotokana na hilo swala katika kukuza elimu yetu isipokuwa ni kuongezeka kwa ada za shule za private pamoja na shule zenyewe.
Unapomlinganisha mtoto anayesoma kidete secondary school (ya kata) na mtoto...
Kila kiongozi ametekeleza kwa nafasi yake,Hayati alifocus kwenye usimamizi kwa nafasi yake ambayo sio kibaya.
Mama anasimamia kuerejesha siasa nayo pia sio mbaya.
Ila basically wananchi tunahitaji maendeleo na maisha yenye unafuu.
kwani binadamu nao si wanyama??? na hao akina nyumbu,swala, nk ni wanyama pia.. sasa wanataka kuwasumbua nini watu wa mungu..Acheni wanyama waingiliane
kwani kabla ya 27000 tsh tanesco ilikuwa haiendeshwi kibiashara? ifikie muda wananchi wanufaike na uongozi wao na rasilimali zao pia, lakini Tz imekuwa na controversial decision country. kila anaeshauri kuhusu uchumi basi inakubalika, just imagine kigamboni barabara inajegwa 2km kila mwaka then...
Kama unampango wa kuingia nchini marekani au kusafiri nje ya nje, chanjo ni lazima lakini kama route zako ni mbagala, kibada, gongo la mboto. chanjo nia hiari.
Lete takwimu sasa, mbona unaleta maneno pekee. we umekazania mapenzi ya mchezaji na jina alokuwa nalo kuliko performance.
Unalaza mbongo yako kwa kukaririshwa. kichwa maji
Khaa sasa ilo la kushangaa, halafu na wewe kumbe ni mule mule , kwani haujui ubora wa Fei.?? na Fei amechukua tuzo ya ASFC, sasa unambie huyo konde amecheza game ngapi za ASFC na performance yake ilikuaje ila ninachomaanisha ni kwamba tusijaribu kujenga hoja za kuwakandamiza wachazaji kwa kile...
Huyu muhindi hajui lolote kuhusu mpira. akifungwa tu anataka watu wawajibike, sasa hao akina machester na matimu mengine makubwa, mabosi zao wangekuwa kama huyu mwamba hizo social pages zao si zingejaa. kila akifungwa basi kahujumiwa yani utasema timu yake ni ile ya shaolin soccer yan...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.