Recent content by mkwawa1

  1. M

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Chuo cha Kiislam Morogoro

    mnanichekesha sana wadau, chuo hakitoi wahitim!!! kama kinatoa, bas tujue pia ni kwenye nyaja zipi wanaajiriwa? mtoa uzi cjui kawaza nn mpaka aka-post hii kitu.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Unajua unamiliki nini kati ya asset au liability?

    ka-elimu kazuri sana, nimejifunza jambo. asante mdau kwa post yako.
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania I am thinking about cheating on him

    kweli wewe ni xfactor,duuh! nimekukubali mkuu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Traffic kuomba rushwa geti za Mlimani City mnajiaibisha kabisa

    aaaah! huyu mpigq picha balaaaa!!! kwi kwi kwi kwii
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ujumbe huu si wangu na ukiupata usiumie nimeambiwa niutume kwa watu wengi

    hebu zitaje mkuu,zinaishia na ngapi hizo?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekanaje Maisha yako yakawa ni haya tokea mwanzo hadi mwisho?

    jitahidi kila unachotaka kukifanya,mtangulize mola wako kabla hujaanza kukifanya na hata baada.ushauri pia unahusika,uspuuze sana mawazo ya watu.kuwa mvumilivu vilevile.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mazungumzo yasiyosikika

    Uko sahihi sana, cjui umefikiria nini mpaka ukaipost hii kitu!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Sababu zitakazokufanya usiwe tajiri!!

    ukweli mtupu,
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza, ndege ya Fastjet kurushwa na marubani Watanzania

    chuo kipo mkuu,maeneo ya airwing(jeshini pale)
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu specification za tablets.

    asante sana mkuu.
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu specification za tablets.

    Habari za weekend wadau. nataka kununua tablet kwa online shopping,lakin nakuwa na hofu juu ya baadhi ya sifa za vifaa hivyo ambazo zitaifanya ikifika hapa kwetu(Tanzania) isifanye kazi kama ilivyokusudiwa.mfano nilipitia post fulan baadh ya wana jf wameshauri kuwa,zile zenye cjui GSM...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania loses Case! Tumeshindwa kesi!

    kwa hakika kuwapata viongozi wenye plan njema to both sides,ni kazi kubwA.kwa Tanzania sio leo/miaka hii kuwapata
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anakuja na mdogo ake

    inaumiza na kuudhi sana mkuu, ila nawachukia sana wadada wenye misimamo.ya hv
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kibamia...kinanipeperushia njiwa wangu!!!

    mkuu wewe una mawazo kama yangu,maana hawezi kujua kama una kibamia wakat hana kikubwa cha ku-compare nacho.
  15. M

    JamiiForums Tanzania PSPF towers: The Pride of Tanzania

    mkuu NasDaz,mimi kwa ninavyojua na kuona majengo mengi yanaweza kuwa na floor chache as u said.ila uki consider sifa ya urefu tunaangalia mpaka ule mnara wa juu kabisa ambao mingi yake inakuwa haina kitu/floors.mfano majengo mengi yko nchi nyingi za kiarabu,china nk.ila ukitaka jengo lenye sifa...
Back
Top Bottom