Kibamia...kinanipeperushia njiwa wangu!!!

Kibamia...kinanipeperushia njiwa wangu!!!

Vibamia vinakera asikwambie mtu mimi nimekutana navyo. Watafute wamasai.
 
Nionavyo mm huyo demu ana mwanaume zaid ya mmoja na anamake nao wote na kati kuna mmoja ana mpini mkubwa na shida ndio iko hapo.
 
Sijaelewa,Mara ya kwanza uligusa kunako na miguno ikakolea,Mara ya pili ukaelea!
Sasa ilikuwaje mwanzo utoshe then siku mliporudia upelee?
Ila all in all,urefu sio issue.

Issue ni nini sasa?.unene?


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
The Boss unetisha hahahhaha!
Wakati mwingine sio kibamia hao wanawake wengine wanamaumbile kama ya tembo jike aisee we piga chini tafuta katoto kabichi uone kama utakutana na fedheha

mambo siku hizi ni tofauti, husipime kwa macho
katoto kabichi ,ukikafunua unaweza kupatwa na mshtuko wa moyo!
 
inaonekana hata hela huna. mkipiga kifo cha mende hakikisha unamkunja vya kutosha miguu utafika tu other wise in nchi mbili. kwani kibamia chako ni nchi ngapi
 
Nionavyo mm huyo demu ana mwanaume zaid ya mmoja na anamake nao wote na kati kuna mmoja ana mpini mkubwa na shida ndio iko hapo.

bora umemuelewesha kiivo coz m2 awez kuona kuw mpini ni mkubwa au mdogo bila ya kutest kwengne
 
Mi na shanga hivi kumbe kibamia plus power au energy ya kuhold au kuprolong ijakulation ni tofauti eeeh..

Ki anatomic nii ijuavyo k huwa ikisuguliwa effective huwa inacontract zile muscles huwa zina kuwa kama zinanyonya au kumumunya kitu, sasa mtu akiniambia story za kibamia huwa napata mgagasiko wa fikra..
Ushaur wangu kwa huyo jamaa na waloa wenye huo mfadhaiko, ni kuwa ni vigumu kubadilisha umbile esp hilo la penis na ndo maana mungu hakulipa muscle ila alilijengea tissues ambazo zina expand na kusinyaa kutokana na blood flow, lkn pia ili ile raha iwe ma dhubuti na na kusiwe na karaha au kero. Kinacho takiwa kwetu sisi wanaume ni ile concetration wakati wa tendo ili kuhimili lile tendo, pia kuzingatia lishe bora zenye kuongeza joto mwilini na kufanya mazoezi ya ku (breath). Yes breath (pumzi) ndo kila kitu ukiweza ku maintain hiki mwana hata kama una kibamia unaeza piga mchezo wa maana mpaka mdada akawa hoi na kisima chake.

Mwisho !
Mie sio mwandishi , wala siwez kutumia tachi screen hivyo muniwie radhi kwa uwasilishaji wangu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom