Nilipata BWANA Nikaondoka kwa mume wangu bila kufukuzwa baada ya maisha kuwa magumu nikamwachia mtoto wa miaka minne basi mume akaniomba twende nikamkabidhi mtoto ustawi wa jamii.
Tukaandikishana nikaondoka nikaenda kupanga ni mwaka sasa dah huku mtaan kwa moto nahtaji kurudi kwa mume wangu na...
Niliondoka kwa mume wangu bila kufukuzwa baada ya maisha kuwa magumu nikamwachia mtoto wa miaka minne basi mume akaniomba twende nikamkabidhi mtoto ustawi wa jamii.
Tukaandikishana nikaondoka nikaenda kupanga ni mwaka sasa dah huku mtaan kwa moto nahtaj kurudi kwa mume wangu na mtoto wangu...
Kazi ipo walimu,sio mcheza leo kwa mara ya kwanza waziri wa elimu prof mkenda amesema kwanini walimu tunasailiwa.
Jipangene jamaa wapo siriasi.
Tusipovuka mwaka huu vigezo vya msimu ujao vitakuwa vikali zaidi.
Profesa amesema walimu tupo wengi hivyo anatafuta waliobora zaidi ili watoto...
Kazi ipo walimu,sio mcheza leo kwa mara ya kwanza waziri wa elimu prof mkenda amesema kwanini walimu tunasailiwa.
Jipangene jamaa wapo siriasi.
Tusipovuka mwaka huu vigezo vya msimu ujao vitakuwa vikali zaidi.
Profesa amesema walimu tupo wengi hivyo anatafuta waliobora zaidi ili watoto walishwe...
Jaman Kwa Hali hii Bora serikali irudishe ajira za ualimu KULE TAMISEMI ki ukweli huku kwenye interview tunakomoana hebu fikiria maswali haya kwenye GEOGRAPHY IIIC
Miaka kumi imepita leo naulizwa cognitive dissonance, halo effect, erickson's stages of psychological development, the goal of...
Baada ya kifo cha Rais Magufuli Chama cha Mapinduzi kimeingia katika Mtego mzito sana katika Siasa yake.
Mtego huu unatokana na Kifo cha Rais Magufuli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa awamu ya tano akiwa Madarakani na kumpata Rais aliyetokana na Katiba.
Kisheria na taratibu za vyama...
Kuna kosa la kiufundi lilifanyika ambalo kwasasa linamgharimu mama kwenye Siasa za Tanganyika.
Kosa hili la Kiufundi lilifanyika tarehe 30 Mwezi wa tatu mwaka 2021 ambapo alifanya Uteuzi wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na aliyepata Uteuzi huu si mwingine bali ni Dr. Philip...
LEO TUPATE ELIMU KIDOGO JUU YA HAWA MABWANA
Na Comred Mwanakijiji Mwanakijiji Mkwawa
Miongon MWA kero kubwa Sana za WALIMU huko makazin NI juu ya hawa jamaa wanaojiita maafisa ELIMU kata
Zamani hawa jamaa waliitwa waratibu elimu kata lkn BAADA YA Kuboresha hili jina na kuitwa MAAFISA ELIMU...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.