Maafisa elimu kata chanzo cha migogoro ya walimu nchini

Mkwawa mnyalukoro

JF-Expert Member
Oct 11, 2017
232
136
LEO TUPATE ELIMU KIDOGO JUU YA HAWA MABWANA

Na Comred Mwanakijiji Mwanakijiji Mkwawa

Miongon MWA kero kubwa Sana za WALIMU huko makazin NI juu ya hawa jamaa wanaojiita maafisa ELIMU kata

Zamani hawa jamaa waliitwa waratibu elimu kata lkn BAADA YA Kuboresha hili jina na kuitwa MAAFISA ELIMU KATA wamejikuta ndo MIUNGU WATU yaan hawa wamekuwa wavurugaji wakubwa WA mifumo ya ELIMU

Hawa watu ndo wapishi wakubwa WA majungu na FITNA makazin, kutengeneza MACHAWA Ndo zao yaaan tabu tupu lkn sio wote kuna MAAFISA ELIMU KATA baadh Yao ndo watetez WA walim na wanajiheshimu Sana

HISTORIA YA HIKI CHEO

Baada ya KUPATA Uhuru kutoka Kwa wakolon nchi YETU iliweza kuunda mifumo yake ya kielimu

Zaman tulikuwa na ngaz nne za kimamlaka ya ELIMU tulikuwa na MWALIMU MKUU,AFISA ELIMU (W),MKOA,WIZARA YA ELIMU

Lakin KUTOKANA na changamoto nyingi za kitaaluma ndo serikali iliamua kuleta hiki cheo cha mratibu elimu kata Kwa lengo la Kuboresha ufanisi WA elimu ndan ya eneo husika ili kumrahisishia kazi afisa ELIMU (W)

LAKIN LEO hii Hali umekuwa tofauti yaan hawa jamaa wamekuwa WAZEE WA kuwatisha walimu yaan wanajikuta wao ndo maafisa utumish,wakurugenzi,NK

Mnamo tareh 10 may 2022 PROFESA KITILA MKUMBO aliishauri serikali kufutwa Kwa hiki cheo ili warudi wakafundishe darasan ili kukabiliana na changamoto zilizopo katika masuala ya ELIMU nchin

Hebu tuangalie KAZI za hawa jamaa

: MAJUKUMU YA AFISA ELIMU KATA

Majukumu ya Afisa Elimu Kata yamegawanyika katika majukumu ya kiutawala na majukumu ya kitaaluma kama inavyofafanuliwa hapa chini:-

Majukumu ya Kiutawala
Kusimamia utekelezaji wa sera, kanuni na miongozo ya usimamizi na uendeshaji wa elimu katika kata.

1.Kuwa mshauri wa Kamati ya Maendeleo ya Kata (WDC) katika mambo yanayohusu
Elimu ya Msingi katika Kata.

2.Kushirikiana na Kamati ya maendeleo ya Kata na Afisa Elimu wa Msingi kuchagua
maeneo yanayopendekezwa kujenga shule mpya na kuendeleza ujenzi wake.

3.Kufanya ufuatiliaji wa shughuli za ujenzi na ukarabati wa miundombinu ya shule.

4.Kuhamasisha jamii kuchangia fedha na nguvukazi katika ujenzi wa shule mpya na kuimarisha miundombinu ya shule zilizopo.
Kupokea na kupitisha Mpango Shirikishi wa maendeleo ya shule, bajeti na taarifa za utekelezaji

5.Kushirikiana na uongozi wa Kata na vijiji kuhakikisha wanafunzi wanaojiunga na Kidato cha kwanza,
wanaandikishwa, wanahudhuria na kumaliza elimu ya msingi bila vikwazo vyovyote.

6.Kuratibu upatikanaji wa takwimu za shule za msingi kwa kushirikiana na Afisa Elimu Vifaa na Takwimu wa msingi wa Halmashauri.

Mungu ibariki TZ

Pia makala hii inapatikana jamii forums
 
Ni kweli kabisa,
Pia hawana tija yoyote kwa Sasa Baada ya
1. maboresho ya tekinolojia,
-Taarifa mbalimbali hufanywa Kwenye mifumo
2. Majukumu Yao yanakamiishwa vema kabisa na Walimu wakuu na Wakuu wa shule.
3. Wengi wao ueledi ni mdogo Kwenye masuala ya kiungozi na Taaluma ni mdogo,
 
Hawa jamaa wengi wao elimu ya kuunga unga sana , kipindi cha semina za sensa wengi ndo walikuwa wakufunzi yaan hatari tupu , mikwara mingi , kutisha tisha hovyo, walimu wakisikia hvyo vitisho mavi yanagonga chupi yanarudi , "utasikia hyo ni serikali" serikali gani bhana kutiana mikwara isiyo na mbele wala nyuma
 
Back
Top Bottom