Nateseka Sana aisee nakunywa dawa nikimaliza kupima wamo yaan dahPole sana.
Mwombe sana Mungu kwa imani yako kila tatizo linatibika.
Binafsi mke wangu alishapata changamoto mbaya sana ya tumbo aliumwa sana tukafika Regency hospital Tukagundua hilo janga hao HPYROL.Yan ilikua akinywa pepsi aisee ni balaa . wakampa ile kit aisee yale madawa yalimtesa zaid.
Nikamwambia tumtafute Mungu tu kwenye hili.Tukaanza kujiombea wemyewe na ku attend ibada tukiomba sana Mungu atusaidie.Bas mara kadhaa tukiwa ibadan mchungaji akawa akiomba sana kuhusu watu wenye shida ya vidonda vya tumbo na hapo wala hatukumwambia...Basi baada ya muda ghafl hali yake ikatulia kisha akastablize now mi mzima kabisaaa shida ilishakwisha tukarud hospital and they confirmed the healing.
AhsantePole mkuu
PoleBora wewe sio sisi wenye upungufu wa nguvu za kiume
Ulitumia dawa gani mkuuMm Kuna wakat niliumwatumbo nikawa nais kufa muda wowte ile Hali sas imeisha niliumwa nikakonda nikawa Sina msuka na wanawake
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Herpetic ulcers ndio inakusumbua, oesophagus iko na mucus nyingi hivyo imelegea misuli nakuruhusu nyongo kupita hasa unapokua umelala hivyo unapata ladha ya uchungu mdomoni.Habari za asubuhi, mimi nina tatizo la muda mrefu kama miaka mitatu tatizo nililonalo NI mdomo kuwa na ladha ya uchachu, viungo vya mwili kuuma, uchovu kupindukia, tumbo kuunguruma, nimekunywa dawa za hospitalin nyingi ikiwemo HELIGOKIT KIT lakin sipati nafuu.
Juzi nikaenda hospital kubwa ya Ikonda kufanya check up wakanipima Choo na kuingizwa mpira wenye kamera tumbon ENDOSCOPY wakasema Nina michubuko tumbon na pia kipimo cha Choo kikaonekana Nina bacteria WA HPYROL wakaniambia Nina vidonda vya tumbo wakanipa HELIGOKIT,Pantaprazole nimemaliza lkn Hali yangu ipo vile vile mpk nimekata tamaaView attachment 2358531View attachment 2358532