Recent content by Mkwanda

  1. M

    JamiiForums Tanzania Msaada Doctors plz...

    Habari,mpenzi wangu amekua akilalamika kuumwa na tumbo kila mara baada ya tendo,tumbo hua linamuuma chini ya kitovu.she iz 22yrz na wala hatutumii nguvu kwenye tendo,some times goli moja tu na saizi ya uume wangu ni kawaida sana.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani namna upimaji wa ultra sound unavyofanyika.

    Mkuu hyo enwo ndio nini?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani namna upimaji wa ultra sound unavyofanyika.

    Nashukuru sana mkuu,Mungu akubariki.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani namna upimaji wa ultra sound unavyofanyika.

    Nashukuru sana ndugu yangu,mimi ni mwanaume bt aina ya ultra sound siijui bt niliambiwa kabla yakupma lazma mkojo unibane sna ndio nipme, doct kaweka mafuta then akaweka mashne chini ya kitovu after 2mts tayar.bt mashne haikutembea tumbo zma.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani namna upimaji wa ultra sound unavyofanyika.

    Hivi karibuni nilikua nasumbuliwa na maumivu ya tumbo nikahisi naweza kua na uvimbe tumboni,nikaenda lugalo hosp wakanifanyia ultra sound kwa kuweka mashine chini kidogo ya kitovu then badae majibu yakasema sina tatizo.lakini namna ya upimaji ndio imenitia shaka coz mm nilizani mashine...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wataalam plz!

    Hivi inawezekana kwa daktari kuweza kung'amua kua unamatatizo au huna tatizo la moyo kwa kufanya vipimo vya damu tu na kusikiliza mapigo yako ya moyo?kama ni kweli ni vipimo gani hvyo vya damu ambayo atavipa priority kwenye kung'amaua tatizo?naomba kuwasilisha.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nimechanganyikiwa,moyo wangu umeongezeka ukubwa upande mmoja.

    Nashakuru sna ndugu yangu stephot nitafanyia kazi ushauri wako MUNGU WA MBINGUNI AKUBARIKI.BIGBRO ndugu yangu nimetoka hosp leo vpimo vya awali ndio vmesema hvyo na kama binadamu nimestuka ndugu yangu.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nimechanganyikiwa,moyo wangu umeongezeka ukubwa upande mmoja.

    Jaman kwa mwenye kufahamu vzuri kuhusu tatizo hili naomba anieleweshe vizuri sina amani kabisa.msaada jamani!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tukio la Morogoro: ITV imeitendea haki CHADEMA, POLISI na Watanzania!

    I t v(independent television)king'amuzi chenu kinatoka lini jamani?hakika jana mmetenda haki!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Madaktari bingwa Muhimbili Watangaza mgomo rasmi

    Madaktari bingwa hospitali ya muhimbili wametangaza kuanza mgomo rasmi mchana huu kwasababu yakuelemewa na kazi na kudai kua hawatoweza kufanya kazi bila ya wasaidizi.SOURCE ITV HABARI ZA SAA.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kikwete safarini TENA!

    Khaaa....
  12. M

    JamiiForums Tanzania MADAKTARI,WALIMU....ole wenu MSIGOME...

    Watanzania wananikumbusha enzi za ludism pale ludists walivyokua wakidestroy machines wakiamini machines ndio adui wao wakati adui wao walikua ni capitalist ambao ndio waajili wao.WATANZANIA HAPA ADUI YETU NI SERIKALI NA SIO MADAKTARI JAMANI,DAKTARI HANA KOSA NA SISI HATAUNA MKATABA NA DAKTARI...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye taarifa kuhusu nafasi za uhamiaji....vp wameshatoa majina???

    Mkuu jiheshimu basi hata kidogo,bado hawajaita but soon shortlist itatoka keep intouch.
  14. M

    JamiiForums Tanzania JOHN MNYIKA: Msimamo wangu wa sasa juu ya Kauli yangu bungeni!

    Hamna ulipokosea kamanda sababu jk kweli ni dhaifu.
  15. M

    JamiiForums Tanzania John Mnyika amuita Rais Kikwete dhaifu, atolewa nje ya Ukumbi wa Bunge

    Safi sana kamanda mnyika na weekend hii rudi dsm tukupokee kwa kazi nzuri kamanda wetu na shujaa wetu.
Back
Top Bottom