Simba,
Nilikuwa nauliza kwanini unalipia tiketi za Ndege au Boti si ungekuwa unageuza tu pete hauonekani unapanda unaondoka...?! Au ukitaka hata kwenda Marekani unaingia pale JNIA bila kuonekana unafika unapotaka kwenda bila kuonekana... au kama ni Marekani unafika hawakuoni... unaigeuza tena...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.