Unamtukana bure jamaa. Ni kweli kwamba hii fomu siyo mpya, imekuwepo miaka, tatizo hakuna aliyekuwa anajali na taasisi chache zilizokuwa zinazingatia walikuwa wanafanya kama formalities tu. Nimeshajaza fomu hii zaidi ya mara moja ila hata sikupata feedback na safari ziliendelea.
Kwa matokeo haya tumepeta faida ya kuongeza watalii na kukuza pato la Taifa. Kila atakayechungulia matokeo ya leo, cha kwanza kuona ni 7-0!!! Kisha atatamani kujua zaidi kuhusu nchi yetu. Atakutana na Kilimanjaro, Serengeti, Ngorongoro nk. Bravo Mkwasa!
Mkuu, malipo kwa Mwaka!!! Na kama mpangaji atataka kuondoka kabla ya mwaka kuisha kodi ya miezi iliyobaki utarudisha? Nadhani imefika wakati hili swala la kulipa kodi ya miezi sita au mwaka liangaliwe upya. Nchi nyingi kodi ya pango hulipwa kila mwezi maana hata mishahara hulipwa kwa week/mwezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.