Mimi ni mwanasheria pori. Uhaini haina hukumi za options kama ulivyoeleza. Mtuhumiwa akipatikana na hatia hukumu ni moja tu nayo ni Kunyongwa Hadi kufa.
Haiwezekani apatikane na hatia halafu hukumu iwe ya uchochezi, kwani shitaka lilikuwa ni la uchochezi?
Wewe uliyewekwa na TANESCO kujibu/kufafanua hoja za humu jamvini unapwaya.
Hukupaswa kuandika kuwa hoja umeichukua na kuipeleka idara husika ili yafanyiwe kazi.
Ulitakiwa kwanza, Kwa niaba ya shirika, umpatie mteja suluhisho la tatizo lake, period.
Nenda tu mkuu. Kupimwa Ngoma hiyo ni lazima na MAJIBU mnapewa wote wawili bila kificho ili Kila mmoja wenu ajue Hali ya mwenzie kuhusu maambukizi. Ila wale manesi wa cliniki wanawaandaa kisaikolojia kwanza kabla ya kuwapa MAJIBU.
Unaisifia Bure, Wala haina kitu kikubwa, isipokuwa makombora, Cha kujivunia. Watu wake wapo Jehanamu ya hapa Duniani.
Muda mwingi raia wake wanajaribu kutorokea Korea kusini lakini wanauawa.
Sehemu kubwa ya uhai wa Hilo Taifa ipo mikononi mwa China na Urusi.
Ipo hivi: Mid term ni neno la kiingereza linaloamanisha katikati ya muhula au nusu muhula. Kwa hiyo midterm elections mana yake ni uchaguzi unaofanyika katikati ya muhula au uchaguzi unaofanyika baada ya muhula wa Rais unapofika nusu ya muda wake.
Huo muhula wenyewe ndiyo upi sasa? Ni kipindi...
Jilinde mwenyewe mkuu. Ukinunua mtungi wa gesi hakikisha umeupima kwenye mizani kabla ya kulipa na kusepa. Kwa mfano ule mtungi wa kati, wa kilo 15, hakikisha ukiupima mizaniisome 30+Kg au angalau 29.9+ Kg. Chini ya hapo usilipe.
Ila kabla ya kutumia hiyo mizani ikague namba zake ie zinasoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.