Causes of cancer is unknown ila kuna predisposing factors ambazo zinaweza pelekea mtu akapata cancer mojawapo ni hio kunyonya sehemu za siri za mwanamke nk......
vyuo vya serikali vyote joining instruction zinaweka online kwenye website ya nacte wew kazi yako kwenda kuiprint tu na kuijaza halafu siku ukireport chuoni unaenda nayo hio .
Nacte mwaka huu inapangia watu vyuo vya serikali tu na kawaid vyuo vya serikali masomo yanaanza mwezi wa kumi na moja sasa wew omba upate nafasi kwanza mda upo mwingi t wa kujiandaa
sawa mkuu na assistance nurse sio nurse aliyesoma certificate maana mtaan nasikia kwamba assisstanc nurse ni nurse mwenye certifiacte vp kuna ukweli wowot hapo mkuu
Haaaaaaaa! Yaan hata diploma yake haina na unawaza MD duuh kwanza certificate yake wala haikizi vigezo unasoma mwaka 1 tuuuu ??????? Kuwa serious kijana
Samahan mkuu mm nipo nje ya mada kidogo hv kama vyeti bado hazijatoka na unataka kuomba nafasi za jkt so unaweza kutumia hata hy transcrpt na ukakubaliwa hata kama bado vyt havijatoka .
M nilienda juzi kwa mkuu wa wilaya yangu nikaingia ofisi ya mshaur wa mgambo nikauulizia kama nafasi za kujiunga na jkt zimeshatoka au bado wakaniambia bado ila niwe naenda kuuliza uliza kila siku .
Samahani mim alikuwa naomba ushaur nimemaliza certificate ya nursing sasa pindi nafasi zitakapo toka mnanishaur niambatanishe na vyet vyangu vya chuo au niweke vya form4 tu maan naambiwa et jkt wanaaangalia fani kama huna fani huwezi chaguliwa jkt..nishaurin hapo jaman maana sielew chocht
Jaman hv kwani kila kambi inachukua vijana wangapi kwa wakujitolea maan nimeona hawa form six wamechukuliwa wengi yaan kambi moja vijana hata 2000 sasa mim nikilinganisha hapo sioni haja ya kutafuta mtu na kuliwa pesa tu kama ukiwa na sifa zote unachaguliwa tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.