fungi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 2,539
- 4,673
NACTE toka lini walidahili watu wa medical attendant?Hapo tu ndo utajua NACTE ni wapumbavu.
NACTE toka lini walidahili watu wa medical attendant?Hapo tu ndo utajua NACTE ni wapumbavu.
Hizo fani ndio zilianzishwa kisiasa kufukia mashimo ya upungufu wa ma nurse na sio kitaaluma hao ni kama walimu wa UPESiasa zimeenea sana kwenye mambo ya taaluma.
Swali kwa nini waliwarusu kusoma enzi za nyuma? Ndo hizo siasa tunazosemaHizo fani ndio zilianzishwa kisiasa kufukia mashimo ya upungufu wa ma nurse na sio kitaaluma hao ni kama walimu wa UPE
Sio kila kitu cha kulaumu
Kwa sababu ya upungufu wa ma nurseSwali kwa nini waliwarusu kusoma enzi za nyuma? Ndo hizo siasa tunazosema
Kwa hiyo wametosha?!Kwa sababu ya upungufu wa ma nurse
mkuu samahani naomba uniambie tofauti kati ya nursing assistance na medical attendantHizo fani ndio zilianzishwa kisiasa kufukia mashimo ya upungufu wa ma nurse na sio kitaaluma hao ni kama walimu wa UPE
Sio kila kitu cha kulaumu
swali zuri!,watu hawaelewi!. Nadhani toka zamani NACTE hawadahili na hawatoi vyeti kwa courses hizo.NACTE toka lini walidahili watu wa medical attendant?
Assistant nurse anakuwa amepewa mafunzo mafupi ya nursing anakuwa anaweza kufanya basic nursing kama kuchoma sindano,dispensing ya dawamkuu samahani naomba uniambie tofauti kati ya nursing assistance na medical attendant
sawa mkuu na assistance nurse sio nurse aliyesoma certificate maana mtaan nasikia kwamba assisstanc nurse ni nurse mwenye certifiacte vp kuna ukweli wowot hapo mkuuAssistant nurse anakuwa amepewa mafunzo mafupi ya nursing anakuwa anaweza kufanya basic nursing kama kuchoma sindano,dispensing ya dawa
Medical attendant kama.jina linavyojieleza yey kazi zake ni usafi wa hospitali,caring ya mgonjwa kama kumpeleka chooni,kumtandikia shuka n.k
kwahiyo kozi ya Medical Attendant sasa haitolewi?? na kama inatolewa upgrading yawo ni nini??swali zuri!,watu hawaelewi!. Nadhani toka zamani NACTE hawadahili na hawatoi vyeti kwa courses hizo.