Hivi kwani mkiandika maandiko yenu ni lazima mpka muite watu wa mungu asee nkionaga maandiko ha hivi nakosa interest kabsa, haya madini mnayoshikiloa ndyo yanawaponza zaidi, yatatumika kuwaunganisha watawala wakitaka na yatatumika kuwatenganisha vilevile wakijiskia watawala DINI ni KANSA kwa...
Wr jamaa kwhy akuna watu baki ambao hawana shida na wanapata ajali? M watu wnaoamini kwnye karma na mambo kama hzo huwa nawahisi wnahitaji sana usaidizi naona wanauwezo mdogo sana wakudanganywa hada kwnye mambo muhim ....
Ukiamni kwnye karma automatically inamaanisha una IQ ndogo sana ya...
Akuna hela ya rahisi bila kuhangaikia na vijana watnakaosubiri hzo njia bado kama ni wanaume hawana sifa za kiume nashauri wote kuolewa tu (wnwake na wnaume ) kwn mama kasemaje si anayetaka na afanye tusimlazmishe mtu tuh
Hela ya rahisi ni ile tu wanayoongwa wnawake na mabwana zao kama na ww...
Kwajyo hatutakiwa kitawaliwa na mzanzibari? Anatakiwa nani? Hii dhambi ya ubaguzi mnayotaka nyie watu majinga haitatuacha tukiichelea na ww ndyo mjinga kwl kwl badae itakuja ubaguzi wa mikoa kama sio makabila....! Kuwa upinzani haimaanishi ww ni intellectual unaeza kuipinga serkali na ukawa...
Kwajyo hatutakiwa kitawaliwa na mzanzibari? Anatakiwa nani? Hii dhambi ya ubaguzi mnayotaka nyie watu majinga haitatuacha tukiichelea na ww ndyo mjinga kwl kwl badae itakuja ubaguzi wa mikoa kama sio makabila....! Kuwa upinzani haimaanishi ww ni intellectual unaeza kuipinga serkali na ukawa...
Kufurahia anguko la mwenzako ni ishara ya roho mbaya na uchawi....!!
Haijalishi mtu alkuwa wa namna gan kama hakuwahi kutndea ubaya kufurahia anguko lake hakutakusaidia ktu au shda ni kwann alkuwa akipokea pesa zaidi yako masikini tutaendlea kuwa masikini tuh kwa roho za namna hiii
Kwahyo ww kwenda kupangaa sinza nyumba ya laki 3 ndy unajiona mjanja asee wajinga huwa wanakuwa wengi sana
Afu dogo nawasi hujakuaa unatuletea chai kutoja kuwasha taa moja mpka kupanga nymba ya laki 3 chai hizii
Kwhyo ww huwa unfanya vtu ili wakuone majirani mkuu???
Na hii ndy inawafnya wadada wng wapende iphone unamulza unaipndea nn anasema tu awwe nayo hata iphone 7 ksa tu jina lile na like epo lililomegwa wamuone watu
UKIKUA UTAACHA
Mkuu sio kila mtu anakuja jf kw ajil ya kushrki warsha, semina, kufuatilia midahalo ya kisiasa ama kidini, majority ya watu wanaingia JF muda wamemalzana na Kaz na jF inakuwq kama sehem ya kurelax na recreation so hawa wtu waliochosha na bongo kutwa nzma kusaka dough vchwa vmepata moto halaf...
Nina wasi was na mental fitness ya mtoa mada either ameachwa muacho mbaya ama amechkuliwa bwana na shoga ake mwenye hela....!
Kimsingi na ww pia tafuta hela asee tafuta hela uache makasiriko na ww umpate mnyonge na ww umbebee..
Unasema Wanaume weng hawana hela et hiz akil za wap hawa wadada...
Salaam sna wna jf familia yetu pendwa.......! Mim ni kijana wa umri wa miaka 33 bado sijaoa nina harakat zngy t za mjini znazonfnya naendlea kuish vzr tu kw mapenz ya mung kwnye hii nchi yetu ya mama kizimkazi.
Ukiachana na matatzo mengne ya kibinadamu nahisi nija shida kwnye hisia zangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.