Wewe huna familia. Na kama unayo na unaipenda utakuwa unesha weka mikakati ya kuwalinda. Hakuna mtu atakuja kuchukua hata sent tano nikifa. Mali zote nazotaka ziwe za familia yangu zimesajiliwa kwa jina langu na mke wangu. So hakuna jina la mjomba kwenye mali zangu atachukua vipi
Sent using...
Mimi pia nampa mke wangu pesa yote. Sometimes natoa pesa hata 500k namuwekea tu kwenye dressing table yake. SIPENDI kuombwa matumizi kila wakati. Napenda kumalizana nae kabsaaa. Hata pesa za miradi ya maendeleo anaweka kwenye acc yake. Niko rafu sana kwenye matumizi ya pesa lakini yeye ndio...
Habari zenu ndugu...!
Nimetafuta pa kusemea, nimegundua kwa kiasi kikubwa hii ni sehemu salama zaidi kulingana na hali ilivyo kwa sasa nchini. Uhuru wa kuongea unapimwa na unaemuongea.
Tafsiri ya elimu bure imekuwa ni ngumu zaidi hawa kwa viongozi wa elimu kwenye halmashauri zetu. sera hii ya...
Ulicho sema kina ukweli. Mama aliyeitunza ndoa yake kwa miaka 30 hawezi kumshauri mwanae aachane na mumewe walioishi kwa miaka 3. Ukweli ni kwamba binti au kijana akitoka kwenye familia iliyo imara (baba na mama) siku zote atapenda kuona familia yake pia inakuwa stronger.
Hili nimeliona kwa...
Hiyo inaweza tokea kama VGA imekufa. Fanya utumie monitor nyingine uone kama itakubali. Window 7 nzuri sana kama shughuli jnazofanya ni nyingi na za risk kubwa kukutana na vitus. Windows 8.1....is very delicate.
Kujifunza kutoka kwa aliyefanikiwa ndio njia bora ya kufanikiwa. Wewe kama mwalimu wako alifeli sio rahisi ukafaulu.
Anachofanya Rais ni kuiga maendeleo. Hili halina ubaya. As longer as it provide positive effects to our country I don't see why we shouldn't
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.