Recent content by mkubwamim

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wale tuliojenga na kuishi jirani na ukweni mnapata amani au kero na ukweni?

    [emoji3] [emoji3] [emoji3] weka wazi mkuu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wale tuliojenga na kuishi jirani na ukweni mnapata amani au kero na ukweni?

    Wakuu, Naenda moja kwa moja kwenye point. Kwangu naona kero za kutembelewa na ndugu ni nyingi na usipokua ngangari wanaweza kukutawala. Karibuni tupeane ushauri jinsi ya kukabili kero pasipo kukwazana na ukweni.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Lichuma linafaidi utamu...

    Dah! We jamaa mkorofi[emoji3] [emoji3] [emoji3]
  4. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua ni namna gani mwanaume anaweza beba ujauzito na kujifungua

    We si ulituga unaenda Shule? Mda wa prep uko busy na cm. Basi sawa
  5. M

    JamiiForums Tanzania Taja jina la shule ya msingi uliyosoma enzi hizoo

    Chuma ipo Tanga ila Mgulani ipo Dar- Temeke
  6. M

    JamiiForums Tanzania Taja jina la shule ya msingi uliyosoma enzi hizoo

    Chuma Primary School 1986 mpaka 1989. Mgulani Primary School 1990 -1992
  7. M

    JamiiForums Tanzania Huu ndio Mchezo Mchafu niliochezewa Deo Kisandu mwaka 2013 lakini mwaka huu 2018 nitaoa Mrembo..

    Deo ktk ubora wako! Nikiona uzi wako hata kama nmechukia lazma nifurahi. Maana nachekeshwa na pumba zako na Comments za wakuu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nina madeni Lukuki nifanyeje.

    [emoji3] [emoji3] [emoji3] Mkuu umetisha! Umeeleza ukweli mtupu. Kwamba wengine hawaoni njia
  9. M

    JamiiForums Tanzania Shurubati ya papa, Shurubati ya kamongo

    [emoji3] [emoji3] [emoji3]
  10. M

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Yah n kweli
  11. M

    JamiiForums Tanzania Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

    [emoji3] [emoji3] [emoji3] Mkuu ninachokiona unataka umtafune[emoji125] [emoji125] [emoji125]
  12. M

    JamiiForums Tanzania FISI mwenye uchu Mwenyekiti wa kamati na mhutubiaji

    Mkuu uko vzr kwenye kiswahili,maana unajua mafumbo
  13. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

    Yaan nmecheka balaa,we jamaa hufai hata kidogo unataka mwenzetu afe
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Diamond kumjengea bonge la jumba na kumpa baadhi ya mali zake baba yake wa kambo

    Ila jamaa kachafuliwa huko Instagram na Mange vibaya mno wenye mda kasomeni
Back
Top Bottom