Naomba kujua ni namna gani mwanaume anaweza beba ujauzito na kujifungua

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
18,716
28,623
Sitaki kuwachosha wakuu mimi naomba kujua kama mwanaume ana weza kubeba mimba na kujifungua na kama akiweza atatumia mda wa miezi tisa kama wanawake okey.

Naombeni majibu yenu wakuu.
 
Sitaki kuwachosha wakuu mi naomba kujua kama mwanaume ana weza kubeba mimba na kujifungua na kama akiweza atatumia mda wa miez tisa kama wanawake oky naomben majibu yenu wakuu
Sasa mwanaume atawezaje kubeba mimba?
Maswali mengine bhana
 
Sitaki kuwachosha wakuu mi naomba kujua kama mwanaume ana weza kubeba mimba na kujifungua na kama akiweza atatumia mda wa miez tisa kama wanawake oky naomben majibu yenu wakuu
kwa awamu hii jiangalie tu la sivyo utabeba hiyo mimba kwa lazima maana umetaka sasa hakuna namna
 
Shule mbona zimeshafunguliwa ,wewe umekosa ada nini?Mbona elimu Ni bure,
Yawezekana umeona au kusikia ila jua ni nguvu za Giza na sio uhalisia

Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
 
Mmmmmm labda ubadilishwe mfumo mzima wa homoni,jinsia, na kila kitu
 
Sitaki kuwachosha wakuu mi naomba kujua kama mwanaume ana weza kubeba mimba na kujifungua na kama akiweza atatumia mda wa miez tisa kama wanawake oky naomben majibu yenu wakuu
Mabasha watakujibu swali lako kwa vitendo, watafute wapo wengi
 
Yani uliaga hapa vizuri kuwa unaenda shule,kaka zako tukakupa ushauri wa nini ufanye utakaporudi likozi,ukaahidi umetuelewa.
sasa leo umekuja huku na swali la ajabu,jibu ni kuwa haiwezekani lakini JE UNATAKA NANI HADI UMEULIZA HILO SWALI ?
Ila poa siyo lazima ujumbe.
lakini vipi umefukuzwa shule tena ?
ukiaga unaenda kusoma nenda dogo.
 
Ww jamaa umewaza usenger sana... Huenda ukawa umesha pigwa mimba hujui la kufanya...

World's first pregnant man Thomas Beatie unveils muscular body after 3 babies | Daily Mail Online

main-qimg-b529e18a510d0822a0ffde001fda7da8

x29-1480411682-2.jpg.pagespeed.ic.nd2bM9G1iI.jpg
 
Sitaki kuwachosha wakuu mi naomba kujua kama mwanaume ana weza kubeba mimba na kujifungua na kama akiweza atatumia mda wa miez tisa kama wanawake oky naomben majibu yenu wakuu
Kazi simple mtie mimba mtoto wa mganga
 
Kigwangala kuna watu aliwaacha nje huenda kwa makusidi au bahati mbaya ...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom