Recent content by Mkosoaji

  1. Mkosoaji

    Rais Magufuli si rafiki wa vyombo vya habari

    Namshauri Rais Magufuli aangalie Press Conference za viongozi wenzake hasa wa Magharibi. Wanaheshimu vyombo vya habari na kujibu maswali hata kama yapo nje ya tukio husika. Obama alipokuja Tanzania alijibu maswali yasiyohusu Tanzania yaliyohusisha serikali yake. Ndiyo ukomavu wa uongozi na...
  2. Mkosoaji

    TRA yakusanya tsh. 5bn kodi ya makontena 329, wafanyakazi 37 wasimamishwa kazi mchana huu

    We chizi hakyanani vile...... umenipasua mbavu hasa.
  3. Mkosoaji

    Kutoka Bungeni: Wabunge wamchagua Dr. Tulia Ackson Mwansasu kuwa Naibu Spika wa Bunge la 11 la JMT

    Kwa Tanzania, hakuna linaloshindikana. cc: White Wizard
  4. Mkosoaji

    CCM Ipo Njia Panda - Haina Jinsi zaidi ya kuitumia Kete Ya Dr. Magufuli

    Kimbunga, upo vizuri. Hands up!!! Unabii umetimia.
  5. Mkosoaji

    Magufuli ni chaguo bovu kabisa la CCM mwaka huu

    We jinias kaka. Umejuaje?
  6. Mkosoaji

    Msafara wa Magufuli Arusha

    Hata urais una mazoezi. Ndiyo anajiandaa hivyo wamalizie na goli la mkono
  7. Mkosoaji

    Tweets za Binti wa Anna Tibaijuka

    Ugly B*ch We are tired of daylight looting. So Get some life
  8. Mkosoaji

    Ikulu yaitisha mkutano na wanahabari Jumatatu 22 Desemba saa Tatu Kamili Asubuhi

    Mimi kama wewe tu, naona kote bila bila
  9. Mkosoaji

    UKAWA wanyaka nyaraka juu ya Mpango wa kifisadi wa kupitisha Katiba Inayopendekezwa

    Kwa pumba zote za Mwigulu huko nyuma, alinena la maana pale alipowaambia CCM wenzake waachane na mchakato kuokoa pesa za wananchi. Ni aibu kwa yanayoendelea na kukimbia aibu lazima pesa iteketee sana kuitetea 'Katiba pendekezwa'
  10. Mkosoaji

    Picha: AY na wasanii wengine wakiwa Ikulu ya Marekani

    Umejuaje mkuu? Upanga hivi vitu vya kawaida kwao
  11. Mkosoaji

    Kaburi Pale Bustani ya Samora

    Jamani JF kuna vituko, nimecheka kama kichaa
  12. Mkosoaji

    Mawaziri wa Tanzania na Uturuki kufungua kampuni ya mkandarasi Kawe Darajani kulikoni?

    Lyinga umeonaeee.... waturuki wanapiga kazi kama mchwa! ukigeuza kichwa wamemaliza jengo.
  13. Mkosoaji

    Una ndoto kubwa za kutoka kimaisha? Soma hapa!!

    Je wewe ni mfanyakazi au mfanyabiashara mwenye kipato cha wastani? Je unahitaji kukuza biashara yako na kuwa ya kimataifa? Je unahitaji kutimiza ndoto zako mbalimbali za maisha kwa uhuru wa kipato? Patakuwa na semina maalum ya HIGHFLYERS itakayofanyika siku ya Ijumaa 30th May, 2014 ukumbi wa...
  14. Mkosoaji

    **unahitaji kujiongezea chanzo kipya cha kipato? Soma hapa!!**

    Je wewe ni mfanyakazi au mfanyabiashara mwenye kipato cha wastani? Je unahitaji kukuza biashara yako na kuwa ya kimataifa? Je unahitaji kutimiza ndoto zako mbalimbali za maisha kwa uhuru wa kipato? Patakuwa na semina maalum ya HIGHFLYERS itakayofanyika siku ya Ijumaa 30th May, 2014 ukumbi wa...
Back
Top Bottom