Nyati
JF-Expert Member
- Mar 6, 2009
- 2,528
- 1,917
Yalikuwa makaburi mengi pale ualipohamisho hilo yu ndio lilishindikana kuhama ndipo serikali ikaamua libakie tu hapo nila madhara
Wacha uongo, hamkukuwahi kuwa na kaburi pale, bali ni mkakati wa watu fulani kulia timing sehemu hiyo kwa ajili ya kujenga nyumba za ibada na biashara. Kaburi hilo lilijengwa miaka ya mwishoni mwa 1990 / mwanzoni mwa miaka ya 2000. Mwanzoni lilivunjwa lakini watu hao wakaja kulijenga tena wakiwa na malengo ya muda mrefu ya kulitwaa eneo husika kwa manufaa yao.