Recent content by mkomboti ya south

  1. mkomboti ya south

    Madiwani 11 wa CHADEMA wakiongozwa na Meya wa Jiji la Mbeya wahamia CCM

    hapa sasa upinzani inatakiwa waandae siasa ya kuchomoa roho tu ndipo heshima itakuwepo si vinginevyo maana hawa hawana nia njema!!! Maana imesemekana bashite alionekana mitaa hiyo na squad yake!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  2. mkomboti ya south

    Madiwani 11 wa CHADEMA wakiongozwa na Meya wa Jiji la Mbeya wahamia CCM

    haiingii akilini kuwa umefanya kazi kwa miaka mine na miezi miwili halafu ukimbie uache stahiki zako zote ukiwa umebakiza miezi isiyozidi sita kuzipokea!!! Huu upuzi hata mjinga haamini!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  3. mkomboti ya south

    Nzige wameingia uganda mji wa kitiguu wageuzwa kitoweo

    kuna nzige wa aina mbili kuna nzige wastaarabu wanaopatikana mahala pengi tu kipindi cha masika hao wamaliwa halafu kuna nzige waoitwa nzige wa jangwani hao wanaitwa askari wa MUNGU hua anawatumia kulipiza kisasi na kutuliza hasira zake kwa wanadamu pale nchi inapofanya yasiyostahili hasa...
  4. mkomboti ya south

    Dar: Madaktari wamuangukia Rais Magufuli, amwaga ajira 1,000 za Madaktari, aelezea alivyozimia siku mbili mbele ya Zainabu

    poleni madaktari hivyo mmeshaajiriwa imeisha msitegemee zaidi kwenye vitendo!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  5. mkomboti ya south

    Wewe uliyeniroga nisamehe nioe sasa

    jibaba hata mie hiyo ishawahi nitokea huku kwetu sauzi ukishazoe haya mijimama mikubwa inakua ni vigumu kurudi kuzoeana na hawa wadogo Maana hawa wadogo tatizo lao liko kwenye mechi ni wadhaifu kula mbunye sometime mpaka uangaike nae wee halafu hauli kwa kujiachia sana na vyenyewe havijiachii...
  6. mkomboti ya south

    Mchango wa viongozi wa upinzani, vyombo vya habari na mashirika ya kiraia katika kuzuia maendeleo na kuharibu amani katika nchi za Afrika

    muwe mnaenda kukojoa kwanza kabla ya kuleta hizo mada zenu mbovu siyo kukaa na mikojo mpaka zinapanda kwenye ubongo zenu halafu mnatuletea mada zilizochanganyikana na mkojo!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  7. mkomboti ya south

    Tanzania yadaiwa kujitoa kwenye Mahakama ya Afrika. Amnesty International na UN walaani hatua hiyo. Serikali yatoa ufafanuzi

    safi sana dalili njema ya kuelekea kuongea lugha moja naona imeanza kama kwa wakina albashir
  8. mkomboti ya south

    Ni sababu gani hasa inayokufanya udanganye umri wako?

    mkuu umeshawahi kumuona mfalme jwe ukamwambia una cheti cha kuunga maana unaweza ukapewa mkulu wa province Sent using Jamii Forums mobile app
  9. mkomboti ya south

    Kama Dunia inazunguka jua kwa Spidi kubwa kwanini vyombo vilivyo nje ya dunia haviachwi?

    mnaotoa mfano kwa ndege hamuoni kua ndege inapokua speed kiasi hicho ndege inakua closed hamuoni ni tofauti na dunia ambayo iko open
  10. mkomboti ya south

    Kama Dunia inazunguka jua kwa Spidi kubwa kwanini vyombo vilivyo nje ya dunia haviachwi?

    ndege inakua iko closed iko open hauoni kuna utofauti?
  11. mkomboti ya south

    Melchizedek na utata unaomzunguka

    haleluya ubarikiwe kwa kutaka kujua ukweli juu ya melkizedek mfalme wa wa Salem yaani mfalme wa amani ujue tangu mwanzo MUNGU hajawahi kumuacha mwanadamu peke yake kwa ufupi melkizedek ndiye yesu mwenyewe kwa sababu biblia imeelezea mambo mengi kimafumbo hivyo inahitaji maarifa ya kimungu ili...
  12. mkomboti ya south

    Miaka minne ya Magufuli Watoto wetu wanasoma bure. Je, kuna nchi yoyote Africa italiweza hili?

    tumia akili kama sisi wa south kwa taarifa yako nikusaidie bure huyo mwanafunzi wa kata aliefanya vzuri siyo zao la yeboyebo ni mwanafunzi aliesomeshwa na mzazi wake private school kabla ya huyo baba yako unaemsifia kuvuruga uchumi wake na kuamua kumrudisha mwanae akamalizie masomo yake yeboyebo!!!
  13. mkomboti ya south

    Hali ya utaifa inatisha

    huku ndiyo south huku kwetu hatutaki ujingaujinga tunasubiri na nyingine ije
  14. mkomboti ya south

    Wakaka ikikutokea hali hii utachukua uamuzi gani

    sky we unafikiri nani anapenda shida au nani anapenda aishi maisha ya kimasikini? jua bahati haiji mara mbili na ningejua huja mwisho wa safari kinachotakiwa aingie kwenye hesabu ya ule msemo ya kuwa mchumba HASOMESHWI!!!
Back
Top Bottom