Wakaka ikikutokea hali hii utachukua uamuzi gani

Hakunaga awali mbovu...
Namuoa demu wangu wa awali....
Huko kwa tajiri nitakuwa sina amani...
Umekulia huku kwetu Kwamtogole, ukiwa A level ulikutana na huyu binti anatoka ushuani. Alikusaidia sana katika maisha ya shule, alihakikisha unapata extra tuition na past papers mpaka umetoboa kwenda chuo.

Chuo ulipata boom, hukua mzigo ki vile. Field umekwenda kwenye kampuni ya mtu binafsi. Ni kampuni kubwa sana. Boss wa ile kampuni amekupenda sana kwa utendaji wako wa kazi. Amekuahidi ajira ukimaliza shule.

Amekutambulisha kwa binti yake ambae anasoma Texas. Ndiye mtoto wake wa pekee. Amekualika muende weekend Pangani kwenye nyumba yake iliyo kando ya bahari. Kule anakueleza nia na madhumuni ya kutaka wewe umuoe mwanae ili awakabidhi biashara zake.

Wewe na mpenzi wako mmewekeana ahadi za kuoana tangu mkiwa A level.

Utachukua uamuzi gani?
 
sky we unafikiri nani anapenda shida au nani anapenda aishi maisha ya kimasikini? jua bahati haiji mara mbili na ningejua huja mwisho wa safari kinachotakiwa aingie kwenye hesabu ya ule msemo ya kuwa mchumba HASOMESHWI!!!
 
We unafikiri nilisoma ili niajiriwe kwenye hiyo kampuni. Nitapambana na wangu alienitoa chini.
 
Back
Top Bottom