Recent content by mkola

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Mathematics, History na Geography wanatakiwa.

    BAED-ST. Augustin Geogrphy&History 0713-330995
  2. M

    JamiiForums Tanzania History question A-LEVEL

    kama up dar mdau tafuta vitin vya mkumba anapatikana msimbazi kanitowa xana kwenye history
  3. M

    JamiiForums Tanzania ajira za walimu taarifa

    ujuwe kama unapost kitu uwe na evidance wadau tusie tunapost vitu km sio ma educated wengine tushavulugwa saxa na life lakitaa jamaan
  4. M

    JamiiForums Tanzania haya wale graduate ,police washaanza kuita

    ndugu yangu uwe unatowa taarifa zilizo kamilika wengine tupo kitaa tunazisikilizia izo post
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kutoka JWTZ kuhusu uvumi wa “ajira za Wataalamu Jeshini”

    sasa izo nafasi zinatoka rasmi lini kwa nini wasitaje kuna ugumu gani kuliko kila siku tunasikia matamko
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli Kuhusu Tetesi Za Nafasi Za Professionals JWTZ...!!!!

    mkuu umefanya jambo la msingi sana na ni mfano wakuigwa kama intelligent person wito wangu kwa wahusika wa aya mambo wasiwe wasili sana especially wizara ya ulinzi na jeshi lakujenga taifa pindi zinapokuwa zinazagaa taharifa kama izi wawe wepesi kulitolea maelezo so mpaka watu waanze kutapeliwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kama tukibahatika kuchaguliwa nafasi za JWTZ (Officer Cadet) Tujiandae na haya......!!!!

    wakuu nimesikia nafasi za jkt zimetoka
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za jeshi!

    na wale waliomba polic wenye proff timetable imekaaje
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa vijana Riverside Hall

    Mkutano wa vijana ubungo riverside unaozungumzia changamoto za vijana ktk ajira mgeni rasmi waziri wa madini mkutano unaendelea. Update Mkutano...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Chaguzi ndogo 16/6 na 14/7 majumuisho na tathmini

    ivi aiwezekani wapinzani kuungana wakaweka pembeni itikadi zao tukajenga nchi,nimeona kata ya mnima huko mtwara imeonesha wapinzani wananguvu kuliko chama tawala tufike mahali wa tz tubadilike ukombozi wakweli auwezi kuja kwa itikadi ya vyama
  11. M

    JamiiForums Tanzania Live Updates: Uchaguzi wa Kata nne Arusha tarehe 14 July 2013

    safi sana makamanda mungu yupo pamoja nasi
  12. M

    JamiiForums Tanzania Polisi Dar wamvamia Mbowe usiku wa manane

    Ata sielewi wapi watanzania tunaelekea chombo kama hiki kila kukicha kinapata tuhuma je sisi walalahoi tunaoishi chini ya dola moja kwa siku nani atatutetea kama wanasiasa wenye majina wanatafutwa usiku na mchana, Ee mungu tuepushe na aya mambo awa wa roho wamadalaka watatuua
  13. M

    JamiiForums Tanzania JK ataja sifa za viongozi waliofilisika kifikra

    sikio la kufa alisiiki dawa
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mabilionea Tanzania wakutana na Rais Obama

    kweli tutafika
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mzee Farijala: Hata waliogomea Bajeti juzi walikula keki na Obama

    sasa iyo mikoa aliyoitaja inahusika vp
Back
Top Bottom