Recent content by mkizungo

  1. M

    My husband does not support me and our kids but helps relatives

    MMH DADA YANGU POLEEE,hayo yanatokea katika ndoa .cha kukushauri mchunguze lazima kuna kitu ,au from the beginning of your relationship ulimzoesha kumpa pesa.kama ni hivyo rekebisha kwani amesahau majukumu yake.
  2. M

    Couples Za Kibongo!

    :ohwell: :glasses-nerdy:
  3. M

    Natural Beauty - Ningekuwa Pedeshee ningehonga CHOPA

    kwa wajuzi sie huo mdomo lips zinaonyesha alivyo na handaki,,sasa kama wewe ndizi ya morogoro,,sheet////hahahakhaaaaaa//teheteheee
  4. M

    Tazama picha za joka kubwa duniani lililouwawa huko egypt read sea..!

    huyu nyoka anapatikakana upareni,,huko dindira mbuga ya mkomazi,,kuelekea ziwa jipe,,wapare wanamwita mnyambee,,,,,esi itara,ni mnyambee,,nondo mla watu,,,mnyambee wa he ipe,,,////jipe/////
  5. M

    Iddi Mubarak ....Karibuni nyumbani

    msikititi wa moa na kalali kule lyamungo na machame miaka ya 90 nikisoma lyamungo sec ,,,tuliienjoy sana..:spy:
  6. M

    Aibu na fedheha sijui ntajificha wapi

    haya maneno haya,,mazuri kweli kumuambia mtu,,,usiombe ukutane nayo wakatu unahitaji faraja,,yanaua kabisaaa,,ni wakati gani yatumike,,,kwenye kufundisha na kujenga au wakatiwa kuhukumu kubomoa na kulaani,,,ndugu,,,,
  7. M

    Fani gani itakuwa na soko 2o21?

    jeshi,,,huon tishio la malawi hiyo ndiyo shule na ajira ya kishujaa,,watapiga domo weeee mwisho ngondo wanaume kazini,,hamna zcha igondi,,,kova ,,msangi wala magwepande,,au,,kujinyonga bila kutapatapa huko morogor,,,kaza buti dogo,,,,,,,
  8. M

    Ndege za utafiti toka Malawi bado zinaendelea kuruka eneo la Tanzania ndani ya ziwa Nyasa

    kaka una morale umenifanya niaaze mazoezi ya kichura chura,,,hivi wamalawi hawajui kule kusin tuna skill yakujitengenezea magobole wenyewe,,isingekuwa polis kuidumaza tungetengeneza vifaru na mizinga,,,,hawajui tuwataalam wa anga tunaruka na ungo,,isingekuwa,,kina kakobe gwjima na kina mzee...
  9. M

    Binti aliyepata hasara ya maisha.

    mimi na nyumba yangu tutamtumikia bwana
  10. M

    Kumbe Hali ni Mbaya namna hii Bongo, sasa wanakula Punda

    pale kibaha picha ya ndege kuna jamaa alifikishwa mahakamani na kuhukumiwa baada ya kuthibitika pasipo kuacha shaka yeyote,,yeye alikuwa muuza nyama maarufu za bei na fuu hotelin na kwa mama ntilie,akidai za pori na kondoo na mbuzi,,,ila yeye alikua anauza nyama za mbwa,,,wanaogongwa na magari...
  11. M

    Tukumbuke zamani

    umeniongezea uhai,,nimecheka nimewakumbuka,hata marafiki wa enzi hizo,,,yaaan
  12. M

    Tukumbuke zamani

    chukua like mia,,yaan
  13. M

    Tukumbuke zamani

    weweeeeee,inaitwa changanya,,,hizo enzi 1981,,,1987,,kule ngulu kwakoa,wilayani mwanga kilimanjaro,,,,,inapigwa toka kiverenge hadi mabashula kwendakula ,,mkongea,,manyata,kw varisingi,,,yaan it was good time,,nchi ni green chakula tele,,mito inatiriika maji hata kiboghosho na machakinda na...
Back
Top Bottom