Recent content by mkitomkali

  1. mkitomkali

    JamiiForums Tanzania Mkakati wa Kuingiza Nchi Kwenye Machafuko

    Punguza kuandika ujinga, unatunza kumbukumbu utakuja kuzeeeka kwa majuto. Mitandao hutunza historia. Vijana tujifunze kundika, unachokiandika hapa kitaishi milele na kitatumika Kama rejea
  2. mkitomkali

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anaeolewa akiwa bikira ana mapenzi ya dhati kwa mumewe kuliko

    zero Kabisa. Cdhan kama umeoa we mleta maneno Maana Hayana sifa hata ya maada
  3. mkitomkali

    JamiiForums Tanzania Nilivyofanya bonge la sherehe baada ya mke wangu kufukuzwa kazi

    Mpaka hapo una Kila sababu za kumuweka pembeni Huyo mwanamke kama unahitaji kuuona uzee wako.
  4. mkitomkali

    JamiiForums Tanzania Arusha halisi ilivyo na watu wake

    hata uwepo Wa mungu binadamu kaupinga, endelea kutupa habar kulikomboa taifa n kazi sana usichoke
  5. mkitomkali

    JamiiForums Tanzania Wakati wenzetu wanawahi kuleta maendeleo, sisi bado tunachapa usingizi

    jipe moyo utashinda[emoji15]
  6. mkitomkali

    JamiiForums Tanzania Hotuba za Rais Magufuli za kichwani zinakera, asome hotuba anayoandaliwa

    sidhan kama rais anapaswa kuongea yaliyo kwenye hotuba tu. Rais n kama baba wa familia kauli Kali za kukemea vijana watukutu ni lazima ziwepo. so hata muda mwingine anapotoka nje ya hotuba sidhan kama ni makosa.
  7. mkitomkali

    JamiiForums Tanzania Kutoka Dodoma: Fedha za kuhonga wajumbe wa NEC ya CCM zakamatwa!

    kama kumtafta mgombea mmoja ndani ya chama kimoja kumekuwa na hii hali,je kumtafta mmoja kutoka vyama vingi mhh. mungu tusaidie
Back
Top Bottom