Recent content by mkishumundu

  1. mkishumundu

    Wanawake 4 ikiwemo 2 wajawazito wauawa kikatili wilayani Nyang'wale mkoani Geita na watu wasiojulikana

    Kwa hali hii tutafika kweli? Mbona kila kukicha afadhali ya Jana .Eeh Mungu tunaomba uturehemu[emoji120]
  2. mkishumundu

    Kamata kamata ya TANROADS, tuoneeni huruma

    Sio wote wanaokamatwa wamekosea ukumbuke Na pia ukikutwa Na jambo LA uonevu ndipo utaelewa kuwa mleta mada anataka kuonewa Huruma au la
  3. mkishumundu

    Msaada baada ya mimba kutoka

    Bora tu akasafishwe kwa uhakika Na usalama zaidi akumbuke hayo ndo maisha yake . Na asiposafishwa ataendelea tu kubleed ambayo ni shida Na pia anaweza pata uvimbe kwenye kizazi Na kupelekea kansa kwa hiyo aweke aibu pembeni asafishwe
  4. mkishumundu

    Hivi ndio Vichwa Vya Familia.

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] duuuuu
  5. mkishumundu

    Watanzania tuache kulalamika eti Vyuma Vimekaza; Tuchangamkieni hii Fursa

    Ni mawazo mazuri ukiwa Na mtaji pia ukipata eneo zuri
  6. mkishumundu

    Natafuta mume

    Mungu asikie kilio chako Na ajibu haja ya moyo wako[emoji120]
  7. mkishumundu

    Familia ya marehemu Akwilina Akwilini yatuma ombi Serikalini

    Yaan hata wangepewa izo 80m familia husika yaani baba Na mama wa akwilina wasingefaidi kitu, hizo hela wanguchukua ndugu tu.
  8. mkishumundu

    Picha za kufikirisha na kutia hasira

    Inasikitisha sana, Na pia inaonesha hali halisi ya Africa tunavyoishi
  9. mkishumundu

    Mwanaume aliyekutwa na picha za ngono kwenye simu akatwa sehemu za siri na mkewe

    Huo ni ukatili wa kiwango cha lami , bora angekuwa anamyima tu huyu mumewe kuliko hicho alichomfanyia
  10. mkishumundu

    Tahadhari tumepewa kuna wizi mpya umeingia mjini

    Zipo ATM za ivyo mfano ukitumia card ya visa ya Barclay per day mwisho ni 2m
  11. mkishumundu

    Mume wangu mtarajiwa nitakuruhusu uongeze wake kadri uwezavyo

    Kweli dunia ni nzuri because of varieties
  12. mkishumundu

    Mume wangu ana kisirani

    Mama LA mama jaribu kuangalia Siku ambayo yuko Na furaha then mpikie msosi anaoupenda then tafuta eneo nje Na home mtoe out umuulize kwa nini huwa anakuwa hivyo huenda akawa Na shida so ukishajua itakusaidia namna ya kuishi nae vizur zaid Na pia kwa kujua tatizo utatafuta solution taratibu...
  13. mkishumundu

    Mrejesho namba 1: Huyu ndio mwanaume ninaemtaka sitaki kuumiza moyo wangu una thamani

    Na ikitokea huyo mwanaume unaeona kakufaa then yeye akaja kukuona face to face akaleta Uzi huku wa kukuponda
Back
Top Bottom