Recent content by Mkirua2

  1. M

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kujisajili website ya Zimamoto

    Basi nilifanikiwa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kujisajili website ya Zimamoto

    Kuna aliyefanikiwa kutuma maombi tujizane
  3. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa haya kuhusu Pikipiki

    Msaada jamani, HIVi pikipiki Kwa matumizi ya kawaida mtu anatakiwa afanyie service vitu gani na Kwa mda gani? Pia boxer 150 mazuri yake na mabaya yake ni yapi Kuna madhara ya kubana mafuta kwenye pikipiki Unawezaje kutambua kifaa ulichofungiwa kama ni og kwenye pikipiki Hasa hizi za...
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri special kwa wanaume special

    Kweli ulichosema nimejionea mkuu wapo
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Niende kidato cha tano au chuo?

    Sorry na maanisha kujiweza kifedha. Na kiakili nafikiri hapo kidogo umenipata
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Niende kidato cha tano au chuo?

    Nenda chuo kama unajiweka
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Wadau hivi hizi sahili huwa za oral au wtitten
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tangazo la kuitwa kujiunga na mafunzo ya awali ya Jeshi la Magereza 2023

    Hivi haya majina ni ya walioomba mwezi wa 5 au ya mda
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Hivi hiyo list sio ya mwezi uliopita ? Sababu naona wanaongelea waliokuwa interview
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi 320 za kazi Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU)

    Ngoja subira tuvute subira labda wanatoa kwa awamu kama ikitokea wiki hii imeisha basi kutafuta mapambano tena
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi 320 za kazi Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU)

    Sure japo makundi tofauti ila ndio hivyo
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi 320 za kazi Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU)

    Hakuna atakaye kujibu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi 320 za kazi Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU)

    Mbona kuapload vyeti na details inagoma nyie system inakubali au shida ni nn
  14. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu umwagiliaji kwa kutumia sola

    Mm sikusema ni lazima nimempa option 2. Pia kumwagilia mchana sio utaratibu sahihi ni shida tu zinatufanya tumwagilie mchana
  15. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu umwagiliaji kwa kutumia sola

    Pia tambua wengi wanaweka battery nyingi kuongeza mda wa kufanya Kaz na yote ni mahesabu hufany kitu sababu umeona jirani kafanya na Hilo ni tatizo. Muhimu kumshauri mtu plan zote ajipange kulingana na mfuko wake
Back
Top Bottom