Recent content by mkipunguni

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mnyika is the most brilliant lawmaker!

    Pamoja nakuwa Mimi huwa simchangiaji sana lakini kwenye hili naamka na kusema... Mnyika is one of the best Mbunge bungeni, mimi kama mkaazi wa Ubungo sijutii hata kidogo kumchagua yeye
  2. M

    JamiiForums Tanzania Airtel mnanikera sana.

    Hata Mimi ilinipata lakini nilipoongea na Call Center yao wakanirudishia, seems its happen for some numbers
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio kauli za mh.SUGU

    Sugu amenikosha sana
  4. M

    JamiiForums Tanzania Neno la Faraja kwa Joyce Kiria

    Dada Joyce pole na matatizo na Mungu atakusaidia
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kimenuka: Lady jay Dee afunguka, Atoa wosia wake siku akifa

    Jide mdogo wangu umechelewa sana kuamka... Wakati SUGU na VINEGA wanapiga kelele ulikuwa wapi.... Hao jamaa under CC.. ni wazulumaji mbaya sana
  6. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa China: Haya ni baadhi tu ya masharti

    Bwana Lukosi utadhani ametoka msalani anavyotema pumba
  7. M

    JamiiForums Tanzania Job Ndugai na Tundu Lissu uso kwa uso kwenye 'Kpima joto' ITV

    Tupeni update jamani..sina ITV naangali kina Dr Mkumbo na Kijobisimba via DSTV TBC
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwa jambo hili sintomsahau Mh. John Mnyika!

    My Web... Suka ipi unayoizungumzia ,.... Mimi na kaa Suka nyuma ya kanisa la Roma kabla ya kufika kwenye ukumbi wa Mbiro na tunauhakika wa maji siku tatu kwa week ... yaani Jmosi, jnne na Alhamisi wakati enzi zile maji ilikuwa mpaka msubirie mvua au mnunue kwenye malori ya X Diwani My Web kuwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ramadhani Madabida adaiwa mabilioni na Barclays Bank Tanzania

    - Hizi ni kesi za kawaida sana, tumezisikia sana wala hazina ishu ni mambo ya Business sio ya Siasa mischanganye ishus people! Halafu si na huko kwenu Chadema kuna wanaodaiwa na NSSF le mutuz Yaani kumbe wanaposema Wewe Le Mutuz unakichwa lakizi hakifikirii ni kweli, Sasa Chadema...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri January Makamba anatembelea Bajaj

    Tuache kuwa wajinga na wapumbavu, hizi sanaa za makamba milionea kukaa kwenye bajaji isiyokuwa hata na dereva ili kuwaadaa akina nani
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mawasiliano tiGO yakatika; haki ya mtumiaji iko wapi?

    Tigo imebuma leo tangu kumekucha hakuna call, bbm wala data.... nimekimbilia Airtel
  12. M

    JamiiForums Tanzania Picha - Kikwete anapopunguza uchovu Mkutano CCM Dodoma

    Athari za foleni Dar ni ugomvi kwenye doa hahahaha .....JK jishughulishe Kaka
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hivi chadema haiwezi kuendeshwa bila maandamano na fujo?

    Nape , sorry kupe,,,,,, wewe kweli kupe
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kumbe hata baadhi ya Wabunge wa Upinzani wanapokea Rushwa!

    Brother Willie nadhani unakosea, hapa unaweza kuleta hizo story na tukachangia kama kijiwe tuu but Kama walifanya hivyo ni rahisi sana kuwatia adabu tena umesema wapinzani kama vile CCM hawakuchukua!!!!!!! Tutajie hao wapinzani na peleka ushahidi TAKUKURU mambo yakae hadharani na tuwamwage
Back
Top Bottom