Neno la Faraja kwa Joyce Kiria

Neno la Faraja kwa Joyce Kiria

Pole mpendwa Joyce. Mungu na azidi kukutia nguvu ktk mapito haya.
 
Malipo ni duniani..kesha anza mshua bado Yule ----- unayemuita mumeo Kunyongwa..Utalia sana mwaka huu..
 
Mungu akutie nguvu haya ni mapito tu utayaweza yote ktk Yeye atutiaye nguvu.
 
Wapiga kura wa chadema ndo wanapoteza maisha, sijui kwanini!
 
Joyce!!! Leo ni siku ambayo hutakaa kuisahau maishani mwako. Nasema hivi kwa sababu jana tu ndo umetoka Tabora kumwona rafikiyo wa karibu sana, namanisha mmeo. Leo tena tena kupitia hapa JF tunajuzwa habari ya msiba wa babako, Pole sana dadangu... Kuna mambo mawili nataka yakufariji; 1. Mungu anaweza kuonekana zaidi wakati wa furaha na aman na wakati wa shida asionekane kabisa. Hapa nina maana kwamba Mungu yupo pamoja nasi kila wakati ila tunapokuwa na furaha na amani yeye huwa pembeni yetu na ndiyo maana unamuona, lakini tunapokuwa na woga au kupita ktk shida na majaribu yeye hutuchukuwa na kutufunika na uwepo wake na ndiyo maana hatumuoni. So, hupaswi kuogopa chochote kwani yeye atakuvusha kwenye bonde la uvuli (Zaburi 23:1-6). 2. Joyce, kila jambo linalotokea hapa dunian liwe zuri au baya, iwe furaha au huzuni fahamu kuwa Mungu karuhu. Mungu ndiye ajuaye sababu. Umesikia habari ya Ayubu, ndo maana tumeagizwa kushukuru kwa kila jambo... 3. Mwisho, ucmtafute mtu yeyote juu wakati huu ila MUNGU pekee. MANGU NA AKUSAIDIE

Kwani huyu mwanamke ni nani mpaka mna mpamba pamba hivi? watu wangapi wanakufa muhimbili mbona hamuwapi faraja? acheni unafiki
 
Malipo ni duniani..kesha anza mshua bado Yule ----- unayemuita mumeo Kunyongwa..Utalia sana mwaka huu..mpaka machozi yatokee kwenye PaPUchi lako..NYAU WE..
mkuu PAPuchi yake unamaana mashine yake? hahahaaha
 
Pole sana Joyce. Haya ni majaribu na Mungu atakupa mlango wa kupitia majaribu yote. Uwe na imani, usikate tamaa na mtegemee sana Mungu.
 
Malipo ni duniani..kesha anza mshua bado Yule ----- unayemuita mumeo Kunyongwa..Utalia sana mwaka huu..mpaka machozi yatokee kwenye PaPUchi lako..NYAU WE..

Ngoja nikupeleke mahali ambapo watakupatia stahili yako. Acha lugha za kihuni katika majukwaa, talk and right sensible statements.
 
Mkuu kwani huyu dem alikuwa ameolewa na mtu mwingine kabla?


joyce%252Bnelly.jpg


joyce_pete.jpg


Je, ni ndoa ipi iliyo halali mbele za Mungu? Angalia kwa makini.

Kwa heri.
 
Back
Top Bottom