Yaaap, ila una uhakika na huu usemi? Kama ni kweli wameyasema hayo ni bora wadogo zetu waliopata selection ya kwenda vyuoni wasiende, na hivyo vyuo kama DIT, MIST, ATC na chuo cha maji wavigeuze nyumba za N H .Huo ni ushauri wangu tuu.
Ni muda sasa umepita tangu neno jigambe liingie humu ndani ya Jamii Forum,
Hebu bufya hapa tuingie humu ndani tuone, huenda kuna mazuri ya kuweza
kutusaidia katika mishuhuliko yetu ya kila siku.
Kama kila kitu ni online, sasa tumefika pazuri tanzania. Au ni baada ya kusikia mkonge waja tz?
Wadau niambieni, ni kipi bado kwa hapa tz hakipo online?
mawasiliano yangu : a.rashid@jigambe.com au www.jigambeads.com
Kama shule zinajengwa, na zina wanafunzi ila walimu wanakosekana, Je? ni za kazi gani?
Unatoa ushauri gani kwa serikali yetu?
Zianzishwa Online school ?
Hii imezoeleka sana kwenye makampuni, huwa wakitoa nafasi za kazi wanahitaji
more than 3 years of experience.Je kwa wanafunzi waliomaliza chuo miaka hii ya karibuni
wana hizo sifa?, au ni kunyimana kazi !
Kwa sasa bofya hapa uone namna ya kupata kazi bila CV, na interview.
Huwa yanikera sana kuona mwanamke mjamzito anasaidiwa na Doctor wakati wa kujifungua.
Hv ni kwamba hamna madaktari wa kike au ni nn?
Kwa nn wanawake wanadai haki sawa km suala hilo wanashindwa kulitatua?
Unawashauri nn hawa kina dada? Waanze kujipanga na hili kwanza au wang'ang'anie usawa wa...
Kwani tatizo ni nn? Hamieni airtel kwani gharama zao ni nafuu zaidi kuanzia kwenye mazungumzo mpaka kwenye vifurushi vya internet.
Nasema haya kwa ushahidi. Nimeitumia airtel kutengeneza system yangu pmaka imeisha bila matatizo na kwa gharama nafuu.
Pia jamaa wa jigambeads.com , jigambe.com na...
Elimu ya tz inachosha. Wanafunzi wa vyuoni huwa wanafanya project, mara baada ya kumaliza wanaziacha na kuchukua marks zao.
Hawapati support juu ya hilo. Je, km wangepewa mtaji waendeleze project zao c lingepunguza uhaba wa kazi?
Mf wa project zinazoendelezwa na wanafunzi ni online voting...
Tanzania tunaweza, kwani km kuna web-directory iitwayo tanzaniakwetu.com ,Website za tz zinapatikana hapo.
Pia kuna iitwayo jigambeads.com hii ni kwa ajili ya kutangaza matangazo. Tz tunaelekea pazuri, mambo yote online.
Mkonge ungefanya kazi mapema cpati picha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.