Equivalent hoii mwaka huu

Yuda

Member
Sep 20, 2011
6
1
Baada ya serikali kukaaa na wanayoita bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu wameamua kuwatosa vijana wenye sifa linganishi kupata mikopo kwa kutoa sababu ambazo hazina mpango wowote, kwani hawa vijana hawana haki ya kupata mikopo? Enzi za mungai, msolla na maghembe hawakuliona hili suala? Mpaka leo hii kwenye uongozi wa kawambwa ndio wameliona hili? Hii sisi haitufai wanafunzi kabisa. Bora watafute njia nyingine, wameamka tu nakusema kuwa mwaka huu mikopo haitatolewa kwa watu equivalent kwa nini?
 
Yaaap, ila una uhakika na huu usemi? Kama ni kweli wameyasema hayo ni bora wadogo zetu waliopata selection ya kwenda vyuoni wasiende, na hivyo vyuo kama DIT, MIST, ATC na chuo cha maji wavigeuze nyumba za N H .Huo ni ushauri wangu tuu.
 
Kijana uhakika upo, wewe jaribu kuuliza kwa waombaji ambao wameomba mwaka huu hicho kitu kipo. Ndo wameanza kuwaumiza vijana wetu.
 
Hawa Equivalent wanapaswa kusomeshwa na halmashauri zao. Kuna fungu linatengwa kila mwaka kwa ajili hiyo. Hongera bodi.
 
No research, no right to speak! Una uhakika gani kuwa fungu linalotengwa na halmashauri kwa ajili ya kuwaendeleza watumishi wao linatosha kuwasomesha wale wote wenye vigezo? Na wale walio katika sekta binafsi watasomeshwa na nani?
Keep on mind that hata wao wana haki ya kupata mkopo only if kama wamekidhi vigezo, imagine ingekuwa imemtokea mdogo wako ama nduguyo yeyote, how would you feel it.
 
kuna mtu humu anajiita mzee nimeshafanya utafiti naona anataka kutujazia server tu kwa mambo anayoyafanya.
sijui anamatatizo gani..
 
No research, no right to speak! Una uhakika gani kuwa fungu linalotengwa na halmashauri kwa ajili ya kuwaendeleza watumishi wao linatosha kuwasomesha wale wote wenye vigezo? Na wale walio katika sekta binafsi watasomeshwa na nani?
Keep on mind that hata wao wana haki ya kupata mkopo only if kama wamekidhi vigezo, imagine ingekuwa imemtokea mdogo wako ama nduguyo yeyote, how would you feel it.

kwani ni lazma kuwasomesha wote walio na vigezo at once.
Bodi lazma ihusike zaidi na wale direct japo nao wapate elimu. Fatilia bajeti za halmashauri kuna fungu la kuwaendeleza watumishi ila wanazila.
 
Hawa Equivalent wanapaswa kusomeshwa na halmashauri zao. Kuna fungu linatengwa kila mwaka kwa ajili hiyo. Hongera bodi.

we kweli kibabu hukupaswa kuwa huku kacheze na wajukuu coz humu huwezi changia
 
Thats you are talking kaka, tell him
Hivi hakuna namna ya wakuwa-disable mambumbu kama hawa?! Mzee umezeeka vibaya kamalizie siku zako za kuishi kwa amani make michango yako ni kichefuchefu tu humu ndani,unanikwaza kila siku nikisoma upuuzi wako!?!!!
 
thanx.
 
Ni kwanini bodi tangia mwanzo wasiseme kuwa equivalent hatuta wakonsida ili wasiombe kabisa maana waliwapotezea muda na garama. Kweli ccm mnalea ujinga
 
Ni kwanini bodi tangia mwanzo wasiseme kuwa equivalent hatuta wakonsida ili wasiombe kabisa maana waliwapotezea muda na garama. Kweli ccm mnalea ujinga[/QUOTE

Ndo naposhangaa kwanini wasingetoa hizo taarifa mapema?
 
Hawa Equivalent wanapaswa kusomeshwa na halmashauri zao. Kuna fungu linatengwa kila mwaka kwa ajili hiyo. Hongera bodi.

mzee vp?mbona icho kitu sijawahi kukisikia?
Au kipo halmashauri gani hapa Tanzania wengine hatujawahi kukisikia.
Hata ivo,kwanini equivalent wananyanyaswa ivo?mara mwaka huu hampati mikopo,mara hatutoi mkopo kama huna cheti cha kumaliza ili mradi wanawasumbua tu.
 
Hivi hakuna namna ya wakuwa-disable mambumbu kama hawa?! Mzee umezeeka vibaya kamalizie siku zako za kuishi kwa amani make michango yako ni kichefuchefu tu humu ndani,unanikwaza kila siku nikisoma upuuzi wako!?!!!

bora ajivue gamba tu.!
 
kwani ni lazma kuwasomesha wote walio na vigezo at once.
Bodi lazma ihusike zaidi na wale direct japo nao wapate elimu. Fatilia bajeti za halmashauri kuna fungu la kuwaendeleza watumishi ila wanazila.

kwa mara ya kwanza toka nijiunge nakutukana mshnz sana ww. Sie hatuna haki? Shukuru umezaliwa juzi ndio maana unaropokwa na ujinga, enzi zetu vyuo vilikuwa viwili tu tungeenda kusoma wapi? Huu ndio wakati wetu kumalizia elimu baada ya vyuo kuwa vingi na tunayo haki ya kupewa mkopo
 
Kwani nyie hamtazeeka? Jana la njano hucheka jani kavu? Wazee wanashukuru mungu kwa kuwafikisha uzeeni.
 
mzee vp?mbona icho kitu sijawahi kukisikia?
Au kipo halmashauri gani hapa Tanzania wengine hatujawahi kukisikia.
Hata ivo,kwanini equivalent wananyanyaswa ivo?mara mwaka huu hampati mikopo,mara hatutoi mkopo kama huna cheti cha kumaliza ili mradi wanawasumbua tu.

jaribu kufatilia then utanipa feedback.
 
Back
Top Bottom