Recent content by mkemwafrank

  1. M

    JamiiForums Tanzania Naomba Ufafanuzi Mwigulu Nchemba kuvaa sare za jeshi la Polisi

    Unapokuwa waziri wa wizara yoyote inayohusu majeshi Tayar ww unakuwa Afande ....MWINGULU hajakosea kuvaa sare yuko sahihi kabisa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wa ajira Kairuki atengua kauli ya waziri mkuu kuhusu kukamilika zoezi la uhakiki watumishi

    Inakuwaje waziri Mkuu anapigwa na waziri wake ni nani mkweli sasa waziri Mkuu au kairuki serikali lazima uwe na tamko moja mnatuvuruga wananchi
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa malela Namtafuta malela

    Mafunzo ya jeshi c mateso ni mazoezi
  4. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kimei(CRDB): Hali ya uchumi nchini ni tete

    Mic u JK
  5. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, unaua Uchumi wa nchi makusudi au ni sabotage?

    Hahahahahah
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ni ngumu na ni aibu kujipanga foleni mwaka 2020 kuwapigia CHADEMA kura

    Siasa ni mchezo mchafu sana Leo mwanasiasa atakuwa na falsafa hii ksho anabadrik
  7. M

    JamiiForums Tanzania Lusinde: Wapinzani wanaoenda kumuona Spika ni wanafiki, wanamchonganisha na Naibu Spika

    Huyu mh wananchi wake wanalia njaa yy kazi kudiri na wapinzan sasa asubir teke linalomuijia 2020
  8. M

    JamiiForums Tanzania Lusinde: Wapinzani wanaoenda kumuona Spika ni wanafiki, wanamchonganisha na Naibu Spika

    Atarudi 2020 kazi kwenu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kati ya hizi kozi mbili ipi nzuri kuliko kwenye soko la ajira hapa bongo

    Soma yoyote upate knowledge acha mawazo mgando ya kutaka kuajiriwa.....kuajiriwa ni utumwa
  10. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Nikihamia Dodoma nitauza nyumba zote za Serikali Dar es Salaam

    Hahahahahah nchi ya mwendokasi
  11. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Nikihamia Dodoma nitauza nyumba zote za Serikali Dar es Salaam

    Tamko la rais ni sheria na hata akiuza hakuna wa kumhoji
  12. M

    JamiiForums Tanzania Diamond unawabania maproducer

    Kila kazi mnayofany lazima kuwa n makubariano hiyo laki tatu ni makubarian yao so sion sababu y producer kulalamika pembeni pia suala la kutajwa producer nadhan nalo c tatzo swal n kwamba producer alimeleza diamond amtaj kwenye hyo nyimbo Watanzania wamezoea kumchafua mtu hasa akiwa amefanikiwa
Back
Top Bottom