Wimbo wa malela Namtafuta malela

Hii nyimbo ina kila aina ya story nakumbuka tulipokua jeshini kuruta tulikua tunaambiwa huyo malela alikuwa kuruta sasa akawa anatoroka jeshini arudi kwao kufika porini akachukuliwa msukule na vibwengo huko maeneo ya jirani na kambi ya Ruvu jkt basi tulivyokuwa tunapewa hiyo story tuliogopa kutoroka tukavumilia tu mateso,, nahisi ni wimbo wa propaganda wa kuwatisha kuruta wasitoroke maana kila kambi unaimbwa
 
Sisi walitudanganya Malela alidojia milima ya Zuhura, Songea huko hivyo nasi tukaingiwa na uoga tukawa hatudojii wala kwenda milima hyo tukiogopa kupotea.
 
Hahaaa zipo nyingi kama!!
Mama jeny
Zainazaina
Shumbwela mashushushuu
Chiku woiwoi mama yooo
Nunu nunu unamnunianani nunuuu!!
Zimbabwe wanapenda kuchuya!!
Bara bara ya taifa reli yeetuu kuu ya uhuruu!!
Baba ziko nyingi sana yaani ziko chenger za kufa mtu!
 
Sie wimbo huo tuliuimba sana mchaka mchaka shule.
Na nyingine nyingi tuu.... wapi waliopitia kambi ya makutipora miaka hiyoo
 
Hii nyimbo ina kila aina ya story nakumbuka tulipokua jeshini kuruta tulikua tunaambiwa huyo malela alikuwa kuruta sasa akawa anatoroka jeshini arudi kwao kufika porini akachukuliwa msukule na vibwengo huko maeneo ya jirani na kambi ya Ruvu jkt basi tulivyokuwa tunapewa hiyo story tuliogopa kutoroka tukavumilia tu mateso,, nahisi ni wimbo wa propaganda wa kuwatisha kuruta wasitoroke maana kila kambi unaimbwa
Mafunzo ya jeshi c mateso ni mazoezi
 
watu 120 ndoo za maji 120 mbele ni chenja mwanzo mwisho sasa ole wako umwage mate hapo mkiharibu uelekeo ni kisima cha maganga huku mkirudi na paa paa kali papaax1000
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom