Recent content by mkemiamkuu

  1. mkemiamkuu

    Neno ABS Linamaanisha Nini Kwenye Gari VW

    Hao jamaa ni madereva makanjanja tu hawana hata elimu ya udereva wa kujihami (defensive driving)
  2. mkemiamkuu

    Wapi naweza kupata spare aina ya boll joint (Mazda CX 5)

    Cheki na huyu sister Cheki na huyu mdau ana deal na spare za Mazda na Ford tu 0712199494 anapatikana Dar
  3. mkemiamkuu

    Gauge ya temp kushika chini tatizo ni nini?

    Hapa sina uhakika Kaka, labda nicheki maana inaweza kuwa ilitolewa
  4. mkemiamkuu

    Gauge ya temp kushika chini tatizo ni nini?

    Hapana feni huwa zinafunguka nikiwa speed ndogo au nikisimama na mshale ndo unapanda mpaka katikati
  5. mkemiamkuu

    Gauge ya temp kushika chini tatizo ni nini?

    Habari wana Jamii Forum, naomba wenye kujua hili wanisaidie. Nimebadirisha rejeta ya gari yangu baada ya iliyokuwepo kuwa inavuja sana, niliunga sana na ikachoka kabisa, na hii niliyoweka ni mpya kabisa, lakini Cha ajabu nikiwa naenda safari ndefu kidogo mshale wa temp unashuka mpaka zero Ila...
  6. mkemiamkuu

    Uchaguzi 2020 Tuliosimamia Uchaguzi tukiri kuwa tumewatendea dhambi Watanzania kwa sababu ya kutii Mamlaka

    Ndiyo maana hata Wana CCM wenyewe wameshindwa kushangilia na kufurahia huu wanaoita ushindi, sababu roho zao zimejaa huzuni kwa dhuruma iliyofanyika
  7. mkemiamkuu

    Uchaguzi 2020 Nimelazimika kusafiri takriban kilometa 1000 kumzuia Robert Amsterdam na CHADEMA

    Yaani Lisu risasi za kutosha mmepiga, lengo mumuue, kaenda kutibiwa nje mnaona eti kaenda kuuza nchi, hivi nyie mtakuwa mambumbumbu hadi lini? So mlitaka atibiwe hapa ili mtimize lengo lenu la kumuua, uzuri mmeona ni kiasi gani watu wameichoka CCM, pamoja na kujitapa mmefanya mambo mengi mazuri...
  8. mkemiamkuu

    Video ikionyesha bia ya kampuni ya TBL yenye uchafu ndani

    Hizo ni hujuma tu, mi nimewahi kufanya field TBL machine zao zinaweza ku sense hata chembe ya uchafu na chupa inatolewa kwenye line automatically, uchafu km huo hauwezi kupita bila kuonwa
  9. mkemiamkuu

    Mbeya: Jiji au Kijiji kikubwa?

    Nilichokiona wengi mmezoea mkienda mahotelini mnakutana na vyakula vilivyokaa kwenye freezer siku kibao na vingine vya makopo, sasa Mbeya mnapewa chakula very fresh from shambani mnaona sio kizuri, watanzania tunakwama wapi aiseeee
  10. mkemiamkuu

    Kutuma hela toka Uganda to Tanzania

    M-PESA ipo kuna sehemu nyingi tu unapata hii huduma
  11. mkemiamkuu

    Kutuma hela toka Uganda to Tanzania

    Mwambie anipe Mimi hizo za Uganda then mm nikutumie za TZ M-PESA maana nipo Uganda halafu M-PESA nina hela zetu za bongo, njoo pm
  12. mkemiamkuu

    Mshahara wa mwezi wa Desemba 2018 umekatwa Tshs 30,000/-

    Kweli nimeamini siku hizi jf imepunhukiwa great thinkers, hivi mnakomaa na figure ya mshahara aliyotaja mdau mnafikiri yeye hana akili ataje mshahara wake halisi humu jf, kweli??? Mmeacha swali kuu alilouliza watu tunakomaa na figure fake aliyoweka, hivi mnadhani baada ya kuulizwa mshahara wake...
  13. mkemiamkuu

    Tofuti kati ya Toyota Harrier na Lexus RX

    Duuuuuuu nimejifunza kitu muhimu sana hapa
  14. mkemiamkuu

    Wadau wa Mazda tukutane hapa

    Mimi nina Mazda Premacy ya 2001 gari ni imara sana hizi km unaifanyia service vizuri. Ninayo toka 2010 haijawahi nisumbua zaidi ya shock up tu ambazo bado sijapata wapi wanauza new ones
  15. mkemiamkuu

    JamiiForums Usiku wa manane

    Lindo lipo salama kabisa, nipo na rungu langu nakatiza mitaa ya humu kuhakikisha usalama
Back
Top Bottom