Kutuma hela toka Uganda to Tanzania

Kutuma hela toka Uganda to Tanzania

Watumie hawa jamaa, Huhitaji hata kwenda ofisini kwao, wanakutumia straight kwa simu yako
Habar,
Jamani kuna mtu anataka kunitumia ela toka Uganda namdai, ivi kuna njia gani anaweza akatumia ili kunitumia ela??

na mimi Sina account ya bank nilikombaga akiba yote nikafunga akaunt yenyewe ela nikampa boyfriend wangu akalipie ada hatma yk ntaanzishia thread siku zijazo, ila nimekoma kupenda hakyamungu
Screenshot_2019-01-24-13-30-44.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
M-pesa Ipo uganda?
Mpesa akitaka kutuma aende kwenye ofisi ya mabasi ya friends Bus pale kampala zile zinazokuja tanzania kuna Mpesa pale.Mwambie aulizie zilipo ofisi za friends bus kuna huduma ya mpesa pale
 
Mpesa akitaka kutuma aende kwenye ofisi ya mabasi ya friends Bus zile zinazokuja tanzania kuna Mpesa pale.Mwambie aulizie zilipo ofisi za friends bus kuna huduma ya mpesa pale
asante mkuu
 
Back
Top Bottom