Recent content by Mkemia Fred James

  1. Mkemia Fred James

    KWELI Urusi yaanza mazoezi ya kutumia silaha za nyuklia, Aprili 20, 2022

    Lengo la Marekani ni kuidhoofisha urusi kabisa.
  2. Mkemia Fred James

    Nataka kuachana na ualimu haraka. Nikimbilie wapi?

    Kabla hujaacha jiulize kwann ulianza.
  3. Mkemia Fred James

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Aya nipeni likes zangu NIVIMBE!!😀
  4. Mkemia Fred James

    Nimemtia mimba mdogo wake na mpenzi wangu

    Inauma sana. Mdogo mtu kumbe anakuaga na wivu ..au tatizo linaanziaga wapi
  5. Mkemia Fred James

    Hatimaye nimeamua kuachana na mpenzi wangu anayependa mapenzi kinyume na maumbile

    Mungu atusaidie sana.... Omba Toba kwa Mungu ili adui asikushinde
  6. Mkemia Fred James

    SoC02 Sheria za msingi za adabu

    Sheria za msingi za adabu: 1. Ongea na watu kwa adabu, haswa ikiwa unaomba usaidizi. 2. Jitahidi sana usikatize watu wanapozungumza. 3. Kumbuka kusema asante ikiwa mtu amekuwa msaada kwako. 4. Ikiwa unahitaji kupita, sema samahani - nahitaji njia ,nafasi nyembamba!Usiseme Pisha nipite...
  7. Mkemia Fred James

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Ajira serikalini imekuja kuwa kituko..ivi tulikosea wapi WATANZANIA???
  8. Mkemia Fred James

    SoC02 Makosa gani 5 watu hufanya katika miaka yao ya 20's ambayo yanahakikisha kuwa watakuwa na maisha magumu

    1. Kuingia kwenye uraibu Madawa ya kulevya,ulevi,ngono,bangi na uvutaji wa sigara ni moja ya mashimo hatari yanayonasa vijana.Uraibu ni njia tu ya kufanya maisha kuwa magumu zaidi. Yatachukua muda wako,afya na umakini wako wote kutoka kwa mambo ambayo ni muhimu sana. 2. Kuiga tabia mbaya...
  9. Mkemia Fred James

    Mke wa mtu sumu: Msela nondo anapigania uhai wake Bugando

    Na nyie wanawake mtulie msitutie majaribuni.Unakuta mke wa mtu anakupenda kuliko mmewe... kilichobaki ni nini apo?? Mtulie kwenye ndoa. Mwanaume weka heshima kwa mke wako.
Back
Top Bottom