JATU PLC wataharibu imani ya Watanzania kununua hisa kwa kampuni ndogo za Watanzania

Super Sub Steve

JF-Expert Member
Jul 9, 2011
16,867
2,000
Nchi hii tunaliwa kila siku na hatuna cha kuwafanya wanaotuibia.Mtu kajiunga SACCOS (Mlimani SACCOS Limited,Udsm). Kanunua hisa,Pia akawa kuna akiba anaweka imefikia almost tshs 6m,akachukua 10m,anaendelea kulipa.Kwa hiyo ana makato ya Akiba,ana makato ya mkopo.Mkopo Ukiwa umebaki kama milioni sita hivi mara SACCOS imenyimwa Leseni na BOT.Saccos imefungwa kwa Muda wamefanya auditing wamekuta Saccos haina pesa yeyote.

Mtu anabaki anajiuliza afanyaje,maana milioni sita za deni zinaendelea kukatwa pia Akiba inaendelea kuwekwa kupitia makato.Lkn unaambiwa SAccos haina kitu na hizo hela Ni kama zimeliwa.

Najiuliza kila mwaka SAccos inafanyiwa ukaguzi na kampuni zikizosajiliwa na hakuna kasoro inaonekana,inakuaje ghafla waseme kuna upotevu mkubwa wa Pesa?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom