Nimemtia mimba mdogo wake na mpenzi wangu

Nina mpenzi wangu ambaye tumepanga kuoana apo badaye najulikana kwao na yeye anajulikana kwetu. Sasa huyu mpenzi wangu ana mdogo wake ambaye tulikuwa tunazoeana saana, na yeye ndo mtu ambaye nina ukaribu naye saana kuliko dada yake.

Sasa kwa bahati mbaya shetani alitupitia. Tukafanya vya kufanya. Madhara yake ndo haya ambayo yametokea
toka last week, mtoto wakike aliniambia haoni siku zake, na kwa bahati mbaya mwezi umeisha.

Nataka niulize

Kuna miezi ambayo wanawake wanapitaga tu bila kwenda kwenye siku zao? Maana nahisi kuchanganikiwa kinoma sijui nitaweka wapi sura yangu mimi!
Nenda jukwaa la afya watakupgia hesabu wape tarehe ya mwisho ya kuziona siku zake....wape na tarehe ya mnyanduo watakupa majibu mazuri
 
Uncle wako mtu mbade sana yani, kaopoa mdogo mtu kamtosa dadaake. Hii imekaaje kitaalamu? Je, ingalikuwa wewe ndiye dada uhusiano na mdogo wako ungekuaje?
Ningemuachia tu... Labda Mungu alipanga wawe wote.

Ila nitahakikisha napata mwanaume bora zaidi aliyempita huyo wa awali kwa kila kitu
 
Nina mpenzi wangu ambaye tumepanga kuoana apo badaye najulikana kwao na yeye anajulikana kwetu. Sasa huyu mpenzi wangu ana mdogo wake ambaye tulikuwa tunazoeana saana, na yeye ndo mtu ambaye nina ukaribu naye saana kuliko dada yake.

Sasa kwa bahati mbaya shetani alitupitia. Tukafanya vya kufanya. Madhara yake ndo haya ambayo yametokea
toka last week, mtoto wakike aliniambia haoni siku zake, na kwa bahati mbaya mwezi umeisha.

Nataka niulize

Kuna miezi ambayo wanawake wanapitaga tu bila kwenda kwenye siku zao? Maana nahisi kuchanganikiwa kinoma sijui nitaweka wapi sura yangu mimi!

Achana na dada mtu oa mwenye mimba yako
Heri umalizie kuipasua familia kuliko kupasua moyo wa mwanamke aliyebeba kiumbe chako
 
Nina mpenzi wangu ambaye tumepanga kuoana apo badaye najulikana kwao na yeye anajulikana kwetu. Sasa huyu mpenzi wangu ana mdogo wake ambaye tulikuwa tunazoeana saana, na yeye ndo mtu ambaye nina ukaribu naye saana kuliko dada yake.

Sasa kwa bahati mbaya shetani alitupitia. Tukafanya vya kufanya. Madhara yake ndo haya ambayo yametokea
toka last week, mtoto wakike aliniambia haoni siku zake, na kwa bahati mbaya mwezi umeisha.

Nataka niulize

Kuna miezi ambayo wanawake wanapitaga tu bila kwenda kwenye siku zao? Maana nahisi kuchanganikiwa kinoma sijui nitaweka wapi sura yangu mimi!
Tia mimba wote
 
Ningemuachia tu... Labda Mungu alipanga wawe wote.

Ila nitahakikisha napata mwanaume bora zaidi aliyempita huyo wa awali kwa kila kitu
Kizembe zembe tu? Labda ukaolewe na mzee Bhakressa
 
Mazoea ya kijinga yanaleta matokeo mabaya kawaida, kuwa makini sana kijana habari kushare uchi na kila demu unajikuta mjanja kumbe mshamba na unakosea heshima na bahati zako ,image gani unaleta kwa jamii .

Karma is real huyo mkeo kama ukiona utakuja kulea mtoto wa jamaa mwingine.. kwa nn usitulie ? Tamaa za kipumbavu za nn ngoja uoe mulishaweka ahadi na dada ake dogo imekuwaje tena?
 
Nina mpenzi wangu ambaye tumepanga kuoana apo badaye najulikana kwao na yeye anajulikana kwetu. Sasa huyu mpenzi wangu ana mdogo wake ambaye tulikuwa tunazoeana saana, na yeye ndo mtu ambaye nina ukaribu naye saana kuliko dada yake.

Sasa kwa bahati mbaya shetani alitupitia. Tukafanya vya kufanya. Madhara yake ndo haya ambayo yametokea
toka last week, mtoto wakike aliniambia haoni siku zake, na kwa bahati mbaya mwezi umeisha.

Nataka niulize

Kuna miezi ambayo wanawake wanapitaga tu bila kwenda kwenye siku zao? Maana nahisi kuchanganikiwa kinoma sijui nitaweka wapi sura yangu mimi!
Mwezi mmoja tu wahi Kuna vile vidonge vya kuchoropoa bila shida
 
Nina mpenzi wangu ambaye tumepanga kuoana apo badaye najulikana kwao na yeye anajulikana kwetu. Sasa huyu mpenzi wangu ana mdogo wake ambaye tulikuwa tunazoeana saana, na yeye ndo mtu ambaye nina ukaribu naye saana kuliko dada yake.

Sasa kwa bahati mbaya shetani alitupitia. Tukafanya vya kufanya. Madhara yake ndo haya ambayo yametokea
toka last week, mtoto wakike aliniambia haoni siku zake, na kwa bahati mbaya mwezi umeisha.

Nataka niulize

Kuna miezi ambayo wanawake wanapitaga tu bila kwenda kwenye siku zao? Maana nahisi kuchanganikiwa kinoma sijui nitaweka wapi sura yangu mimi!
Utalimia meno
 
Kwanza acha kumsingizia shetani ,pili kapime kwanza upate uhakika tatu kama ipo basi lea mimba hiyi hadi mtoto azaliwe .
 
Ila wanaume aise..Ndio maana wanawake wengine wanaamua kuwa zao lesbians.

Anyway, kuna scenario kama hizo wanawake kuchelewa kuona siku zao..But kuliko kuendelea kusubiri hizo siki kwanini msipime mimba kwanza mjue mbivu na mbichi..

Issue kama yako ilimtokea my uncle..So akaamua kumuoa mdgo mtu aliyemtia mimba ila dadake aliumia sana.
Inauma sana. Mdogo mtu kumbe anakuaga na wivu ..au tatizo linaanziaga wapi
 
Utaweka sura kwenye mapumbu hata kama ndo ugawe mimba kwa ndugu wa mpenzi wako, hata wanyama wanajizuia😏
 
Mshindilie tena mbegu zingine ili zile za kwanza ziaribike lasivyo itatakiwa muwe mnadinyana kila baada ya siku mbili hicho kiumbe kitaaribika
 
Ila wanaume aise..Ndio maana wanawake wengine wanaamua kuwa zao lesbians.

Anyway, kuna scenario kama hizo wanawake kuchelewa kuona siku zao..But kuliko kuendelea kusubiri hizo siki kwanini msipime mimba kwanza mjue mbivu na mbichi..

Issue kama yako ilimtokea my uncle..So akaamua kumuoa mdgo mtu aliyemtia mimba ila dadake aliumia sana.
Hapo unaposema "ila wanaume aise" unamaanisha kumlaumu mwanaume au?
Amehusika zaidi huyo mwanamke aliyekubali kumpa tunda mchumba wa dada yake, huyo haswa ndio kafanya makusudi waziwazi. Alikuwa na uwezo wa kukataa na yakaisha, lakini akachagua kutoa tunda kwa malengo yake. Hapo alaumiwe zaidi mwanamke sababu hata hilo la mimba ni yeye mwenye kujijua ratiba yake, kafanya kusudi.

Huyu mvulana ajitafakari, anamtaka yupi kati ya mchumba wake na huyu aliyejileta kutega mimba? Yule mchumba naye alishawahi kutega mimba ikabuma? Wote ni wanawake lakini mmojawapo atakuwa bora zaidi kulingana na interest ya muoaji. Kama anataka mwenye mimba au anayempenda, sasa ni juu yake.
 
Shetani anamambo yake kibao ya mhimu acheni kumsingilia huo ni uzinzi wenu kubali tu
 
Back
Top Bottom