Recent content by Mkejina88

  1. Mkejina88

    JamiiForums Tanzania Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Kama uliangalia vizuri Linc hakumuua Katlego,walikuwa wanagombana, Kat akanguka na kufikia kisogo na kufariki,kosa alilolifanya Linc ni kuficha taarifa za kifo na kwenda mtupa huko mgodini
  2. Mkejina88

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Balozi Abdul Sisco Mtiro afariki dunia hospitali ya Aga Khan

    Mwenyezi Mungu amrehemu.Poleni wafiwa
  3. Mkejina88

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu za kitaifa

    Mshana nakutafuta ujue
  4. Mkejina88

    JamiiForums Tanzania Ramadhan Special Thread

    Allahuma Aamin
  5. Mkejina88

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke huvai kiunoni shanga, cheni hata kamba ya mgomba inakushinda?

  6. Mkejina88

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Mke wangu mchafu

    Pole sana mtoa mada kwa kuishi na mwanamke mchafu wa aina hiyo na hongera kwa uvumilivu uliotukuka!Kama ulivyoweza kuwasilisha hili hapa basi tafuta wanawake waliomzidi umri ambao unawaheshimu wanaweza kuwa ndugu au watu wa dini katika imani yenu na uwaeleze wamfunde mkeo kwa tabia ya...
  7. Mkejina88

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuambie kitu ulichofanyiwa utotoni kikakuletea madhara hadi leo

    Pole sana kwa kutokupendwa na mama.Nadhani huyo mama ana sababu ya kufanya hivyo na anajua yeye yawezekana huyo hakuwa baba yako,inawezekana kabnisa mimba yako ilimpa wakati mgumu ni siri ktk maisha yake hivyo hawezi kukuambia amebaki na chuki.Samehe tu vile Mungu amekusaidia una maisha mazuri...
  8. Mkejina88

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuambie kitu ulichofanyiwa utotoni kikakuletea madhara hadi leo

    Pole sana ,hapana usikate tamaa na usiikubali hali hiyo,kemea!Mungu ni mwema
  9. Mkejina88

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuambie kitu ulichofanyiwa utotoni kikakuletea madhara hadi leo

    duu pole sana Miss Chaga,kwa kweli ni ngumu lakini yakubidi kuikabili hiyo changamoto ili maisha yaendelee vizuri.
  10. Mkejina88

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuambie kitu ulichofanyiwa utotoni kikakuletea madhara hadi leo

    Pole sana kwa yaliyokukuta utotoni.Mungu ni mwema naamini huyo mama wa kambo anajutia aliyokufanyia,malipo hapa hapa duniani.
  11. Mkejina88

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mwanachama mwenzetu, PakaJimmy amefiwa na mwanae ajali ya basi Arusha

    pole sana Pakajimmy na wote waliopatwa na msiba huu.Mungu azipumzishe roho za marehemu kwa amani.
  12. Mkejina88

    JamiiForums Tanzania Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

    poleni sana Mungu awape faraja na subira katika kipindi hiki kigumu.
  13. Mkejina88

    JamiiForums Tanzania Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

    Mungu awapumzishe kwa Amani watoto wetu.Poleni sana wafiwa
  14. Mkejina88

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni kubadilisha hili neno liwe katika lugha ya kiingereza

    Thanks.Upo sahihi sana.
  15. Mkejina88

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni kubadilisha hili neno liwe katika lugha ya kiingereza

    mhhhh badilisha ....which number I belong among your children and not OUR
Back
Top Bottom