Recent content by mke mdogo

  1. M

    JamiiForums Tanzania I am sorry mabinti wa kichagga

    Hahaha nimeipenda hiyo statement kuwa bora afe
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia katika kuchagua mwenza wa maisha

    Awe msafi na hardworking
  3. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kujenga, kijiji kizima sasa kinafikia kwangu

    Hivi anaewaonyesha hapo kwako ni nanii. .? Na taaarifa kuwa umejenga na sasa umehamia nanii aliwaambia. .? Haya sifa zilimponza fis
  4. M

    JamiiForums Tanzania Bei ya kioo cha Galaxy S4

    Mimi nina s4 imekufa charger system njooo nikuuuzie
  5. M

    JamiiForums Tanzania Unaweza kumwacha mkeo kwa mume mwenzio?

    Hivi kwa upande wa shilingi inakuwaje. .? Yaaan mume aliezaaa nje je ni ruhusa mwanamke wake kuja kumuona mtoto au hawa hawana shida
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Dr. Chris Mauki

    Ukuni kwa kweli lazima ukolee moto hivi hivi heshima hamna na hizo suprises zote itakuwa = work done is equally to zero
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Dr. Chris Mauki

    Wanaume mmeumbwa mateso
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake mnaombaomba hadi kero ndo maana mnapigwa mimba hovyo

    No money no honey nimebaini
  9. M

    JamiiForums Tanzania ITV vs Isidingo ni kipi chungu lililoiva

    Niko addicted na hii isidingo the need ..nawahi kurudi home niiangalie naipenda sana kama wale wanaopenda soka. ! Ambaye haielewi an pm nimjuze how it reflects our daily life
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake acheni kuvaa mawigi

    Wanaume waongo anakwambia sipendi wig unafwata kila kitu. ..akitoka nje unamkuta na mwanamke alievaa wigi, kimin, makeup, kope.,aliejichubua,mikucha mirefu yenye mirangi! Yaaan hawa wanaume hawa ni very weird
  11. M

    JamiiForums Tanzania Perfume gani wanawake wanapenda kuisikia kutoka kwa wanaume?

    Blue magic na shell's ya blue
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna urafiki wa mke na mwanaume nasitataka kuaminishwa na yeyote

    In my opinion najua urafik wa mwanaume huwa upo tena rily friends ila kama urafik huo ulianza kwa ushemeji. ..yaan let's say labda jamaa alikuwa mtu Wa rafiki yng sasa pale ndio huwa kuna kuwa na urafik coz kuna river between, mnakuwa mnaheshimiana badalaaa
  13. M

    JamiiForums Tanzania Maneno matamu unayoweza kumwambia unayempenda kwa dhati

    Mjuvi ni mtu anaejua zaidi jambo na kulitenda
  14. M

    JamiiForums Tanzania Maneno matamu unayoweza kumwambia unayempenda kwa dhati

    Nikinywa maji nakuona kwenye glass
Back
Top Bottom