ITV vs Isidingo ni kipi chungu lililoiva

ITV vs Isidingo ni kipi chungu lililoiva

Isidingo ina mashabiki wengi tuu mimi nikiwepo!

Nenda jukwaa la Entertainment utaona kuna hadi uzi maalum...!
 
hata kama wew pimbi si bora watafute movie za kibongo zenye maadili aonyeshe kwa manufaa ya taifa unaifatilia wew tu na mashoga wenzako
Maadili gani yana kiukwa kwenye hiyo tamthilia?
 
kwahiyo kama wewe huipendi ndo na sisi tusiipende, mi daily lazma niicheki, nikiikosa weekdays ntaichek weekend
 
Huipendi au tatizo lugha?Beauty is in the eye of the beholder
 
Kwa iondolewe? Isidingo hoyee! Napendaga swaga za Loreto!! Kanajiaamini,kakiingia sehemu lazima akinukishe!!
 
Hahaha wewe mtoa mada ndio jipu la div5, mfutiwe vyeti, mkarisiti tena, tena sasa ni chini ya ndalichako.
 
Hawa vijana wa div 5 wana shida sana. Kwanza lugha haipandi na chapili akili zao ni ndogo kiasi kwamba hawezi kuunganisha matukio fasta fasta na pia ashazoea Tamthilia zenye Cental figure au main Character sasa akija kwenye Isidingo ana ona manyota nyota na anabakia amebung'aa kama paka aliye ponyokwa na panya.
 
[QUOTEpongwer, post: 15028983, member: 279810"]hata kama wew pimbi si bora watafute movie za kibongo zenye maadili aonyeshe kwa manufaa ya taifa unaifatilia wew tu na mashoga wenzako[/QUOTE]
Tanua ubongo wako kila mtu na interest yake tumeumbwa tofauti brah! kuna watu hawapendi hata kuona tv achilia mbali hivyo vipindi
 
Mimi niliwahi kudokezwa kwamba isidingo ni kama vile watu wanavoishi kila siku. Yaani ni mchezo wa kuelezea maisha ya kila siku kwa hiyo kitu kama hicho hakina mwisho kwa sababu maisha hayakosi visa.
 
Niko addicted na hii isidingo the need ..nawahi kurudi home niiangalie naipenda sana kama wale wanaopenda soka. ! Ambaye haielewi an pm nimjuze how it reflects our daily life
 
Mimi sitaki hata kusikia neno isidingo. Anyway kuna wanaoipenda, waje watupe uzuri na umuhimu wa hii tamthilia. Napendekeza ITV watumie mda wa kuonesha hiyo tamthilia kupiga angalau taarabu tu, kipindi kitapata wapenzi na watazamaji wengi

najaribu kuwaza kwa sauti tu kuwa wa tz tuko 45m.. tuseme walau 50% yao ndo waliosoma na wenye uelewa wa mambo yanavyoenda dunian kwa maana kinachonipa waswas kama hao 50% ya hawa wa tz wezangu wasom ndo wana mawazo mgando kama yako ambayo yanataka taarab ipigwe kama alternative ya tamthilia.. bas hakyanan siwalaumu CCM kwa umaskin wetu wa miaka 50 bali naanza kuhis tumejikuta tuko kwenye nchi ambayo pengine lilitengwa liwe eneo la makaburi maana hz sio akil za kimaendeleo ni akil mfu.
 
Mtoa mada kiazi sana! Mwisho wa hicho kipindi kuna tangazo la kukutaka utoe maoni na barua pepe unapewa. Kwanini usingetumia huo mda kuwaeleza haya matakwa yako. Wenzio wanaona na feedback wanatoa .
 
Isidingo ina wafuatiliaji na pia ITV inanufaika na matangazo lkn ubaya wa hiyo series ni mkorogo wa love affairs yaani wanakulana wao kwa wao kitu ambacho hakitunifaishi au hakileti mchango mzuri kwa jamii yetu na hasa generation tulionayo ya dotcom
 
Back
Top Bottom