Recent content by Mkatakiu

  1. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wazua ghasia mazishi ya Mollel

    KKKT wananishangaza, huyu kafia guest akiwa mtupu lakini kazikwa na Askofu. Wengine wanafariki wachamungu wananyimwa hata mchungaji! Jamani KKKT fanyeni hivyo kwa watu wote sio baadhi ya watu tu, hukumu na msamaha ni kwa bwana sio wanadamu. RIP Mollel
  2. M

    JamiiForums Tanzania Papaa Msofee alitia Doa Jeshi la Polisi na kumuaibisha Mama Tibaijuka

    Wanasema siku za mwizi ni arubaini. Hatimae Professional Cornman Marijani Msofe aka Papaa Msofe anganganiwa na vyombo vya sheria. Lakushangaza hapa ni kwamba tuliambiwa kesi yake imehairishwa kama mara tatu hivi kwasababu anaumwa na mwezi huu mwanzoni alikuwa afikishwe mahakamani lakini ghafla...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Papaa Msofe akabiliwa na kesi ya mauaji

    Jamani Magazeti yanapewa hela ili yapotoshe ukweli!! Magazeti yanamuandika Marijan Msofe kama mfanyabiashara maarufu na mengine PROMINENT businessman?!! Huku wakijua ukweli. Nimepata taarifa kuna kila jitihada zinafanyika kumsafisha hivyo ndio maana magazeti yanapewa hela kutoa hizi habari...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Papaa Musofe mbaroni kwa mauaji!

    Leo nimeongea na jamaa mmoja ambaye yuko karibu sana na Marijani Msofe ambaye mjini ni maarufu kama papaa msofe na anasema jamaa alishauriwa na Polisi wapeleke hiyo issue mahakamani haraka ili wawafunge mdomo watu maana hiyo issue inahusiana na murder lakini haina ushahidi uliokaa vizuri...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Exemptions from paying tax

    Mimi nimerudi mwezi wa pili na nimesamehewa. Unaqualify for exemption of personal effect ikiwa na maana vitu ulivyokuwa unatumia na gari moja. Ila kwa gari unatakiwa uwe ulilinunua mwaka mmoja kabla hujarudi kwamaana ya kwamba ulikuwa unalitumia. Ukiwa unakidhi vigezo unajaza BD Form...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Home Shopping Centre: How do they do business?

    Hawa jamaa kwawatu wanaofanya biashara za China tunawajua sana. Ukienda huko wanakwambia watakuletea mzigo wako na wanakuchaji kwa ukubwa wa mzigo ghara ambayo ni ndogo kidogo ya watu wengine wanaosafirisha mizigo kutoka china. Tofauti yao na wengine ni kwamba wengine ukifika unaonyeshwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Familia ya Kikwete yachafuliwa: Yadaiwa kufanya biashara na waarabu

    Issue hapa sio kufanya biashara. Hawa jamaa wanapitisha makontena kwa Tsh 1,500,000 contena la nguo. Huko china wanakwambia ukileta mzigo wanakuchaji kwa cbm na hawakupi risiti ya aina yoyote ukikamatwa na huo mzigo ni shauri yako. Kuna Maneja mmoja wa pale longroom anaitwa kahise aliondolewa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kama haumo humu wewe si Fisadi!!

    Wewe ni gamba na fisadi mkubwa unayetaka kuonyesha jamii kwamba we are all sinners na hivyo tuachane na kupinga ufisadi. Shame on you
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wizi waibuka Bandari Dar- Magari yachomolewa vifaa

    Nilikuta gari moja inavuta magari matatu kupeleka bandari kavu na ikapata ajali. Nilijiuliza alijiaminije kuvuta magari ma3 na maaskari huko njiani walikuwa wanawaruhusu vipi wapite? Je wenye magari hayo walipofikia kuyatoa waliambiwaje? Uchunguzi wangu wa haraka nilipouliza katika eneo la tukio...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Arsenal you have a long way to go, pull up your socks..
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mnyika, Zitto, Januari, Kafulila, Nape kuanzisha Jukwaa la viongozi vijana?

    Umoja ni nguvu, utengano udhaifu. I recomend and support anytype of union in taking Tanzania to the next level..
  12. M

    JamiiForums Tanzania Diwani wa CHADEMA mbaroni kwa KUMBAKA YATIMA

    This is all politics! No comment
  13. M

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: SLAA amrithi SUMARI Arumeru!

    Chadema Arumeru au Arusha kwa ujumla haina mpinzani na CCM wanajua.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Je, tunahitaji Vazi la Taifa?

    I believe huu ni ufisadi mwingine
  15. M

    JamiiForums Tanzania U.S. warns Iran on Strait of Hormuz

    God forbid
Back
Top Bottom