Recent content by mkata-mkaa

  1. mkata-mkaa

    JamiiForums Tanzania Epuka kufanywa fursa na kina Sharks

    Tulia mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  2. mkata-mkaa

    JamiiForums Tanzania Epuka kufanywa fursa na kina Sharks

    Kuna jamaa wale wanao jiita sharks.. Wako bize kuwafanya vijana wenzao kuwa fursa wanawalipisha pesa nying kumbe kila kitu kipo YouTube. Kuwa makini kijana. Nenda youtube Andika BIGBANKS tazama iyo video apo utagundua naongea nini. Mimi nilivyo search imekuja video ya tatu. Skiliza kwa makini...
  3. mkata-mkaa

    JamiiForums Tanzania Nguvu za kiume zimepotea ghafla

    Asante kiongozi.. Nimefanya ivyo niko kijijini tayal Sent using Jamii Forums mobile app
  4. mkata-mkaa

    JamiiForums Tanzania Nguvu za kiume zimepotea ghafla

    NIMEKUSOMA mkuu.. Thanks Sent using Jamii Forums mobile app
  5. mkata-mkaa

    JamiiForums Tanzania Nguvu za kiume zimepotea ghafla

    Kivip mkuu? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. mkata-mkaa

    JamiiForums Tanzania Nguvu za kiume zimepotea ghafla

    Wadau nimepatwa na tatizo hata sijui nifanyaje nimepoteza hamu ya tendo la ndoa ghafla toka juzi. Akili yangu haiko sawa sijui nini kimenipata asubuh mimi kwa kawaida wakati naamka uume unakuwa umesimama lakini toka juzi yani uume hausimami kabisa, kuna muda nakuwa na hamu ya tendo. Lakini...
  7. mkata-mkaa

    JamiiForums Tanzania Mvua za Dar

    Ngoja tusubil mkuu
  8. mkata-mkaa

    JamiiForums Tanzania Mvua za Dar

    Wakuu habar zenu...naomba kujuzwa hizi mvua zinakata lini... Watalam wa hali ya hewa naombeni data
  9. mkata-mkaa

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu ajira Tanzania

    Wakuu habar zenu naomba kujuzwa... Ni asilimia ngap ya vijana nchini Tanzania hawana ajira? Je wapi naweza kwenda kupata izo data?
  10. mkata-mkaa

    JamiiForums Tanzania Naitaji samaki sato na sangara

    Wakuu habar zenu.. Nina bucha liko mbagala Naitaji mtu wa kuniletea samaki kwa bei ya jumla.. Samaki sato na sangara... Sent using Jamii Forums mobile app
  11. mkata-mkaa

    JamiiForums Tanzania SSA greenlight team lead-UBER

    na wakat muna apply muwe mnasema.. sio gemu taiti ndo mnatuuliza maswal
  12. mkata-mkaa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kuna mwanamke ambaye si msaliti?

    mkuu kwan ww ke... mbona ulileta uzi ww ni me?
  13. mkata-mkaa

    JamiiForums Tanzania Namtafuta baba yangu mzazi mzee Jovin Machumu

    thanks mkuu
  14. mkata-mkaa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya uhusiano wetu kufa tulikubaliana tubaki kuwa marafiki lakini sasa hivi simuelewi

    niko likizo now
  15. mkata-mkaa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya uhusiano wetu kufa tulikubaliana tubaki kuwa marafiki lakini sasa hivi simuelewi

    mkuu sina wivu... swali ishu ni kwamba una mtreat mtu vizur alafu yeye ana act kama its nothing ndo naposhangaa
Back
Top Bottom