NIkipi aliropoka ambacho sichakweli?hatakama umekunywa maji ya bendera tambua nch hii ikianguka hatuna nyingine tunawajibu wakuilinda na kulinda raslimali zetu.sasa tumezigawa kwa wazungu na hatuon faida yake au unaweza kutuambia kama taifa ubinafsishaji wa nch hii umetusaidia kwa kias gan...
Wewe unadhan lisu na chadema wanatetea maslah ya familia zao.kijijin kwenu huwenda munaish nyumba za nyasi alafu unakuja kuongea ujinga huku.ikiwa unafurahia kuish kwenye nch ambayo watu wake wakiisemea nch yao pale serikali inapokosea inakua uhaini wewe niwakuombewa ujitambue
Shida sio den kua himilifu shida tunakopaje kias hicho?raslimali zetu zinafanya kazi gani kila ukisikia barabara imejengwa ni mkopo uwekezaji wa nch hii unafaida gani.madin na raslmali nyingine zinasaidia nin?tuna vyanzo lukuki vya mapato lukuki vinaenda wap
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.