Recent content by Mkare_wenu

  1. Mkare_wenu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke wangu ana HIV, wazazi wanataka nimuoe

    Sio rahisi
  2. Mkare_wenu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke wangu ana HIV, wazazi wanataka nimuoe

    Kwa mujibu wake mtoto yuko salama
  3. Mkare_wenu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke wangu ana HIV, wazazi wanataka nimuoe

    [emoji1][emoji1][emoji1]Ntampa namba yako
  4. Mkare_wenu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke wangu ana HIV, wazazi wanataka nimuoe

    Kwa mujibu wa maelezo yake mtoto yuko salama
  5. Mkare_wenu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke wangu ana HIV, wazazi wanataka nimuoe

    Mimi ni B+, wala sio group O'
  6. Mkare_wenu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke wangu ana HIV, wazazi wanataka nimuoe

    Hivi inawezekana wanandoa miaka yote mkasex kwa condom? Mi nahisi inawezekana kwa kuongea tu ila kiuhalisia haiwezekani
  7. Mkare_wenu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke wangu ana HIV, wazazi wanataka nimuoe

    USHUHUDA WANGU KUHUSU H.I.V (kwa ufupi): Hilo suala la mwanamke wangu kusema ana HIV halikunistua/ kunishangaza sana, kwakuwa nilishawahi kukutana na kisa cha namna hiyo kwa mwanamke mwingine miaka kama minne iliyopita, in short yeye nilikuwa nishakuwa naye kwenye mahusiano kama miezi 8 hivi...
  8. Mkare_wenu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke wangu ana HIV, wazazi wanataka nimuoe

    Nina na mahusiano na mwanamke mmoja ambaye anaishi mtaa wa jirani ambapo tumedumu kwenye mahusiano kwa takribani mwaka mmoja na nusu, baada ya kuwa nae kwa miezi kadhaa tukatokea kuaminiana na kuanza kusex bila mpira, akawa amepata mimba na nilikuwa nimeplan akishazaa tuanze kuishi pamoja...
  9. Mkare_wenu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake kipi huwa kinawafanya mseme hivi?

    Hapo umkute mwanamke wa kichaga sasa[emoji1]
  10. Mkare_wenu

    JamiiForums Tanzania Tunaopiga picha darajani Manzese

    We piga tu ngosha usijali maneno ya watu
  11. Mkare_wenu

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Bunge limenaswa kwenye ndoana ya maigizo ya Makonda

    Vyeti ametoa?
  12. Mkare_wenu

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

    Mimi siwezi sahau hii ishu, labda wapuuzi waliopumbazwa na ishu ya Ney. Bashite ouuuut...!!!
  13. Mkare_wenu

    JamiiForums Tanzania Nyimbo maarufu kwenye maharusi na shughuli mbalimbali

    Hainaga ushemeji haipo?[emoji12]
  14. Mkare_wenu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Moyo Mashine ni bora kuliko Aje ya Alikiba

    Mimi kwa upande wangu naona hizo nyimbo zote ni kiwango, so yeyote ambaye angeshinda ni sahihi. Ila kwa upande wa video wamekosea sana , haikustahili ukilinganisha na video za washindani wake mfano Don't bother ya Joh
Back
Top Bottom